Nitavunjika mbavu kwa kucheka maana duh Hata hasira hatakuja
Hii ni risk taking, yani dereva akiyumba tu.
Tunaishi kwa kudra za Mwenyezi mkuu, fikiria kichwa kipige lami hapo.Mfuko mmoja kilo 50
imagine that....
Ni mawazo tu, huyu uwe unamzungusha kila siku na kula pesa yake, pesa yenyewe anaipata hivi.
Ndio akili itamrudia....fikiria kichwa kipige lami hapo.
Tunaishi kwa kudra za Mwenyezi mkuu, fikiria kichwa kipige lami hapo.
Ni kweli mkuu, usione watu mahayawani kuuwa kwa mapenzi, pesa unaipata hivi, babe anataka kwenda saloon na khanga za mkole.Ndio maana unasikia auwawa sababu ya wivu wa mapenzi,....ni mambo kama haya.
Huo ni uongo hakuna pikipiki ya kubeba hizo kg,labda kweny mifuko wqmejaza pambaMifuko kumi mara kilo 50=500kg,
Halafu hao wana wawili kadiria kilo 60@,...ni zaidi ya 620kg jumla.