Imagine Makamu Mwenyekiti Angekua Wenje na Lissu yupo Gerezani

Imagine Makamu Mwenyekiti Angekua Wenje na Lissu yupo Gerezani

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,069
Reaction score
8,758
Wajumbe na wapiga kura wa Chadema walikitendea sana haki Chama kwa kumchagua Lissu na Heche,

Kama angechaguliwa Wenje Kama makamu Mwenyekiti Chama kingekua kinaendeshwa kwa maelekezo ya mstaafu aliyestafishwa kwenye boksi la kura

Kuna Move nusu mkate zingefanyika na Chadema wangeingia kwenye Uchaguzi bila reforms na Mwenyekiti akiwa gerezani

Kongore kwa Heche na Mnyika
 
Wenje huyu mpenda nyama za bure na bia ? Huyu hata ubalozi nyumba kumi hawezi
 
Makamanda wengi wa CHADEMA kwa sasa wamegeuka na kuwa sungusungu wavizia ubwabwa na nyama za bure. Ni Makamanda wachache tu wakiongozwa na Lissu + Heche ndiyo wameamua kupambana mwanzo mwisho.
 
Wenje angekuwa anashinda na Abdul makao makuu ya chadema
 
Majaribio mengi sana yameshafanyika kuwataka Mnyika na Heche wafanye mapinduzi ndani ya chama..

Vishawishwi vya fedha na vyeo vimeshapita lakini hawa ndugu wamesimama imara kulinda heshima na utu wa Mwenyekiti wao. Asanteni sana Heche & Mnyika na wasaidiizi wenu...

Actually, huu ndiyo ulikuwa mpango. Kwamba, TL atengenezewe msala wa kumweka ndani gerezani kwa muda mrefu. Huku nje kufanyike manoeuvers, za kujaribu kukirejesha chama kwenye mikono ya mfanyabiashara wa siasa za udalali Freeman Mbowe na genge lake na akitoka akute mifupa tu...

Hongereni sana John Heche na John Mnyika. Nyie hakika ni wazalendo kwelikweli..

Walipoona ugumu wa njia hiyo kutekeleza malengo yao, mfululizo wa matukio ukatengenezwa. Msajili wa vyama vya siasa acha kutambua uteuzi wa secretariat uliofanywa na Mwenyekiti, futa ruzuku, tumia Wazanzibari kufungua kesi ya mchongo ya madai ya mali za chama, Jaji tumia kesi hiyo simamisha shughuli za chama nk..

Lakini nadhani hawa hayawani wanashangaa sana kwanini pamoja na vurugu zote hizi wanazoifanyia CHADEMA, lakini jamaa hawatetereki...

Hawajui kuwa CHADEMA chini ya Tundu Lissu ni mpango wa Mungu...
 
Wajumbe na wapiga kura wa Chadema walikitendea sana haki Chama kwa kumchagua Lissu na Heche,

Kama angechaguliwa Wenje Kama makamu Mwenyekiti Chama kingekua kinaendeshwa kwa maelekezo ya mstaafu aliyestafishwa kwenye boksi la kura

Kuna Move nusu mkate zingefanyika na Chadema wangeingia kwenye Uchaguzi bila reforms na Mwenyekiti akiwa gerezani

Kongore kwa Heche na Mnyika

Ni mpango wa Mungu.

Kila kitu tunachopitia kwa sasa tayari script imeshaandikwa. CCM watatumia nguvu nyingi lakini somehow somewhere watateleza tu.
 
Back
Top Bottom