Imagine kwenye 6x6 hapo...

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
shaq.jpg

Embu imagine kwenye 6x6 inakuwaje hapo...hahahaha!
 
Kama vile baba anamvusha binti yake barabarani kumpeleka shule kumbe ni 'manzi' yake ya 6x6. Jamaa pamoja na u-miraba minne wake lazima anazama mzima mzima, clearly bila chengachenga. Wanawake nawaaminia bwana!
 
Usiogope mwili, waweza kuta mkuki km bamia tu, nguv zote zipo kwenye kifua,mikon na miguu ambayo ni useless, ila wembamba achakabisaaa hakuna majasho
 
Umeona eeh ni nouma yaan huwez amini
Kama vile baba anamvusha binti yake barabarani kumpeleka shule kumbe ni 'manzi' yake ya 6x6. Jamaa pamoja na u-miraba minne wake lazima anazama mzima mzima, clearly bila chengachenga. Wanawake nawaaminia bwana!
 
Jamaa wengi wa aina hiyo walishamalizwa na unga zamani, matokea yake wanatuomba sisi tuwafichie siri (If you know what I mean)!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom