Anamuua,
Haaaa unaweza ukakuta jamaa ni 1minute man
ukubwa wa gari si ukubwa wa ingine!!!!!
Sa mbona yuko hai ama unafkr hajafkshana kwenye 6 kwa 6
Anamuua,
Mbona hajafa?
Na engine ya scania kwenye corolla? itakuwaje? Itakimbizwa hadi ichanguke changuke? au?mhh! Weka engine ya corolla kwenye scania uone kama itatembea...
Kama vile baba anamvusha binti yake barabarani kumpeleka shule kumbe ni 'manzi' yake ya 6x6. Jamaa pamoja na u-miraba minne wake lazima anazama mzima mzima, clearly bila chengachenga. Wanawake nawaaminia bwana!