Arch.katunzi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 250
- 143
Ni Malezi !! Ni hatua ya makuzi !! Ni hofu ya kukataliwa !! Ni kukosa upendo wa mama uliotimilifu !!
Sababu yoyote ile iwayo, jenga mahusiano taratibu, Jiamini.
Be brave, Stay Strong.
^^

Hi guys........!
mm ni kijana miaka 24 na bado ni mwanafunzi somewhere hapa tanzania.
Shida yangu kubwa na iliyonifanya nitafute ushauri hapa ni upweke uliokithiri....!
kwanza kabisa nimejikuta sitamani kuwa katika mahusiano ya kimapenzi bila sababu yoyote ya kimsingi.
Nimejaribu kwa mara kadhaa kujilazimisha kuwa katika mahusiano ili niondokane na hii hali ya upweke na pia kuwa katika mahusiano kama ilivyo kwa kijana yeyote mwenye hisia na aliye kamilika kimaumbile.
Kwa kufanya hivyo huwa najikuta pengine nimeingia katika ulimwengu ambao I don't belong there...!hasa kuwakwaza wale ambao ninakuwa nimeingia nao katika ulimwengu huo wa mahusiano.
Ni tatizo ambalo kwanza cjui chanzo chake ni nini.Nimeshindwa kujieleza kwa watu wengine wanao nizunguka sababu nahisi pengine ni vigumu kueleweka.
Pengine ningelikuwa na tatizo la kimaumbile labda si function ninge ji comfort kwamba ndiyo sababu.
Lakini kimaumbile niko sawa,nina hisia kama watu wengine na mara nyingine kutamani like everybody else
Naomba mchango wenu wa mawazo hasa kubaini tatizo hilo na jinsi ya kuondokana nalo ukizingatia limeanza zamani since
Aiseeh...hivi upo chuo gan? Kama nakufananisha...haupo ardhi university kwelii???
Hi guys........!
mm ni kijana miaka 24 na bado ni mwanafunzi somewhere hapa tanzania.
Shida yangu kubwa na iliyonifanya nitafute ushauri hapa ni upweke uliokithiri....!
kwanza kabisa nimejikuta sitamani kuwa katika mahusiano ya kimapenzi bila sababu yoyote ya kimsingi.
Nimejaribu kwa mara kadhaa kujilazimisha kuwa katika mahusiano ili niondokane na hii hali ya upweke na pia kuwa katika mahusiano kama ilivyo kwa kijana yeyote mwenye hisia na aliye kamilika kimaumbile.
Kwa kufanya hivyo huwa najikuta pengine nimeingia katika ulimwengu ambao I don't belong there...!hasa kuwakwaza wale ambao ninakuwa nimeingia nao katika ulimwengu huo wa mahusiano.
Ni tatizo ambalo kwanza cjui chanzo chake ni nini.Nimeshindwa kujieleza kwa watu wengine wanao nizunguka sababu nahisi pengine ni vigumu kueleweka.
Pengine ningelikuwa na tatizo la kimaumbile labda si function ninge ji comfort kwamba ndiyo sababu.
Lakini kimaumbile niko sawa,nina hisia kama watu wengine na mara nyingine kutamani like everybody else
Naomba mchango wenu wa mawazo hasa kubaini tatizo hilo na jinsi ya kuondokana nalo ukizingatia limeanza zamani since I was o-level.
Daaaah I thought am alone kumbe tupo wengi aiseeee, hope ntapata ushauri kupitia wewe! Tushaurini Jaman am on the range almost the same