I'm sorry

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Naweza nikawa nimewakera kwa nia moja au lingine na posts zangu mbalimbali.
nachosema I'M SORRY nilichukulia hii site kama site zingine.BUT MNISAMEHE TU KAMA NIMEWAUDHI KWA CHOCHOTE.
 
Naweza nikawa nimewakera kwa nia moja au lingine na posts zangu mbalimbali.
nachosema I'M SORRY nilichukulia hii site kama site zingine.BUT MNISAMEHE TU KAMA NIMEWAUDHI KWA CHOCHOTE.

Take it easy Man
Tufurahi pamoja tumepitisha siku salama
Mambo ya mwisho wa dunia tuwaachie wadhungu
We ponda raha na Husninyo wako, mzae watoto mpaka basi
 
Lol, kweli umeamua kuongeza idadi ya post. Anyway umesamehewa.
 
Mwacheni mwenzenu a-enjoy JF jamani
We hukumbuki ulivyoanza kushika mobile mara ya kwanza ulivyokuwa msumbufu

Akha usinisingizie mimi....
Utaombaje msamaha kama hujafanya kosa?!
 
Naweza nikawa nimewakera kwa nia moja au lingine na posts zangu mbalimbali.
nachosema I'M SORRY nilichukulia hii site kama site zingine.BUT MNISAMEHE TU KAMA NIMEWAUDHI KWA CHOCHOTE.

We twanga tu! huna haja ya kuomba samahani Mkuu! hujamkosea yeyote hapa jamvini. Hata kama unanzisha elfu kwa siku hakuna ubaya ila tu ziwe na maudhui yanayokubalika na wengi...
 
Naweza nikawa nimewakera kwa nia moja au lingine na posts zangu mbalimbali.
nachosema I'M SORRY nilichukulia hii site kama site zingine.BUT MNISAMEHE TU KAMA NIMEWAUDHI KWA CHOCHOTE.

Jifunze kusema samahani ikiwa umekosea au umemkosea mtu..usijishtukie hata kidogo kama hujamkosea mtu, vinginevyo utakuwa unasema 'I'm sorry' kila mara mpaka inakuwa kama kiunganishi na haina maana halisi...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahah lol
Vituko part 3..

To be continued .........
wewe binti nakutafuta sana
huonekani kabisa
nimekutafuta hadi nataka kulia
jinsi nilivyoimiss mistari yako
kuna katuni mmoja anaitwa klorikwini
anapenda kuchekesha chekesha
basi nikajua amesha kubeba
.... bora nimekuona
kwanza hii kitu hapo down unatumiaga?

StrawberryDaiquiri.jpg
%D0%BA%D0%BE%D0%BA%D1%82%D0%B5%D0%B9%D0%BB%D1%8C.jpg
 
Naweza nikawa nimewakera kwa nia moja au lingine na posts zangu mbalimbali.
nachosema I'M SORRY nilichukulia hii site kama site zingine.BUT MNISAMEHE TU KAMA NIMEWAUDHI KWA CHOCHOTE.

ukitaka usamehewe inabidi kila post humu ndani uigongee thanks
 
wewe binti nakutafuta sana
huonekani kabisa
nimekutafuta hadi nataka kulia
jinsi nilivyoimiss mistari yako
kuna katuni mmoja anaitwa klorikwini
anapenda kuchekesha chekesha
basi nikajua amesha kubeba
.... bora nimekuona
kwanza hii kitu hapo down unatumiaga?

StrawberryDaiquiri.jpg
%D0%BA%D0%BE%D0%BA%D1%82%D0%B5%D0%B9%D0%BB%D1%8C.jpg

dah!! sijui mchawi wangu ni nani ,
nikimwandikiaga tu huyu mtoto ana log off,
au hapendi ma-saint nini? inabidi nianze kumtafuta mchawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom