I'm sorry D, Wanaume wenzangu never take a woman for granted

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,125
2,000
Wanawake wa aina hiyo wakiondoka, ni nadra sana kupata sampuli hizo. Mungu anachukua vile vyote vilivyo muhimu kwenye maisha yetu tunavyovitake for granted. Unakuwa unaletewa aina za wanawake ambao, wanaenda pasu kwa pasu na wewe, ukicheat yeye na anacheat mpaka unajiona upo na master wako.
haahahah
Mungu hapokei rushwa,...
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,547
2,000
Ndio mkuu

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Ukizingua tena tunamchukua, its so rare kupata mwanamke analilia mapenzi sikuhizi kiasi kwamba we have to snatch them toka kwa watu ambao hawajui wanamiliki lulu.

Midemu ya mjini linakukuta na sms ndio linafungulia mbwa sasa. Kila amayeomba mzigo anapewa halafu ole wako ujitie kukoroma hata kidogo 🀣🀣🀣
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,547
2,000
Wanawake wa aina hiyo wakiondoka, ni nadra sana kupata sampuli hizo. Mungu anachukua vile vyote vilivyo muhimu kwenye maisha yetu tunavyovitake for granted. Unakuwa unaletewa aina za wanawake ambao, wanaenda pasu kwa pasu na wewe, ukicheat yeye na anacheat mpaka unajiona upo na master wako.
Hahahah jamaa hajakutana na midemu ya mwendokasi ile mibugiaji savannah na kitimoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Angekuwa kashajifunza jambo
 

Mama malkia

New Member
Nov 8, 2017
3
45
Hii inataka kufanana kama story ishawah ntokea kipnd hcho 2012 nko mwaka wa pili chuo likizo zile za wiki mbili nilikuwa naenda kwa boyfnd wngu japo hadi sasa ndiye baba watoto wangu...basi bwana siku hiyo kulikuwa na harusi ya rafki yangu mkoa huo aliyopo boy wangu basi na mm nkaenda maana nilikuwa maid kwa hyo harusi sasa nikapewa kadi ili na boy wangu aje kwenye harusi sasa tukiwa ukumbini namwona mwenzangu yuko bize na simu anachat nikasema labda nikuboeka maana hakuwa na anayejuana naye pale. Sasa muda wakurud home tukachukua zetu tax tukarud ghetto...asubuh sijui ilikuwaje nashika simu yake nakuta text ya mdada inasema Asante sana kwa zawadi ya jana nimefurah sana na maneno mengne mengne ya kushukuru, daaah!! Nilihuzunika sana tena sn namuuliza boyfrnd anaanza kujichanganya mara sijui vimepanda vimeshuka mara anajiliza anapga magoti ananiomba msamaha na blaa blaa nying nikaondoka zng kwa hasira nikaenda kukata ticket ili kesho yke nirud zangu chuo japo zlikuwa zmebak kama siku 3 hv chuo kifunguliwe....ngoja niishie tu hapo lakn nilipomsamehe akaenda kwetu kujitambulisha na mahari na ndoa juu mpaka leo tupo tunalisongesha gurudumu.
Kwa hyo na ww omba msamaha na umaanishe kweli km unampenda naye atakusamehe.
 

BRICK FLAIR

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
566
500
Hahahah jamaa hajakutana na midemu ya mwendokasi ile mibugiaji savannah na kitimoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Angekuwa kashajifunza jambo
Hahaha... Mzee picha kama hilo siyo poa unakuta ulikuwa na mwanamke yupo fresh kabisa ana heshima, lakini ulimchukulia kama mnyonge wako, mwisho wa siku akagive up, halafu unakutana aina hizo za wanawake, inakuwaga noma sana mzee, unaweza mfuata mwanamke wako umuombe msamaha lakini yeye anakuwa ameshamove on. Hilo ni picha la kutisha sana!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,547
2,000
Hahaha... Mzee picha kama hilo siyo poa unakuta ulikuwa na mwanamke yupo fresh kabisa ana heshima, lakini ulimchukulia kama mnyonge wako, mwisho wa siku akagive up, halafu unakutana aina hizo za wanawake, inakuwaga noma sana mzee, unaweza mfuata mwanamke wako umuombe msamaha lakini yeye anakuwa ameshamove on. Hilo ni picha la kutisha sana!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Horror Movie 🀣🀣🀣 unaenda kulia kwa manz anakuonesha jamaa yake ambaye kaegamia Range Rover kali kinyama anam hug na kumkiss..Huna chako bro 🀣🀣🀣
 

OMWAMI2020

Member
May 28, 2019
69
125
K
I'm so sorry D and now I know how it feels to break someone's heart and the feeling of deception....

Huyu mdada tumeanza dating this year tuna almost kama 8 months since we started our relationship Ila kuonana ilikua tabu kidogo kutokana na kuwa mikoa ya mbali tofauti pia na harakati zinakua zinabana.

Funny though, we grew up together in the barracks, we even went to the same primary school and graduated the same year. Baada ya hapo we went to different paths tukaja kukutana tena kwenye WhatsApp group la primary but then we were just friends Tu, na hatukua na urafiki kiivo enzi za primary.

Then vacity, I started dating this girl when I was in second year and it turned out that she was friends with D. That was our second encounter since primary school.

Maisha yakaendelea, baada ya chuo tukaenda separate ways na mahusiano yangu na yule rafiki wa D yakaja kuvunjika. Nikaendelea na mahusiano ya hapa na pale (short term r/ships) mpaka mwaka jana. Siku moja nikiwa bored nikaanza kuwazingua kwenye group ili mradi tu kuwakera ( lile la primary) sasa ukazuka mjadala mkali mpaka D akanifuata PM kunihusia niachane na mambo ya ajabu. Slowly tukaanza kuchat kwa sana which resulted into calls na convo za kutosha (still tukiwa mbalimbali).

Siku moja nikajivika mabomu na kumuapproach ( honestly I wasn't serious), akaleta leta ugumu but then she gave up and told me something I didn't expect. She had always loved me since primary but she didn't have the guts to tell me and she was broken her heart after she came to know I was dating her friend. Nlichukulia poa nikamwambia Safi basi let's be lovers wakati moyoni mwangu she was just a backup plan.

I have to admit, she was so innocent and full of true love, my heart bleeds when I think of how I treated her. Alikua akinipigia simu sometimes namjibu vibaya (mind you that hapo I was seeing someone else, she was just being a plan B). Mara text nimjibu kiukali ilimradi visa tu but she never gave u even a single day akiamini nitakuja kuwa nae.

Well story ni ndefu mno but baada ya mahusiano mengi kufeli nikaamua nimfanye main chick, akaja hadi huku mkoani akakaa home akasepa, tukapanga mipango mingi Tu. Akarudi zake Dar na alishangaa siku moja mama yangu kampigia simu akajiuliza amejuaje no. Yake, mama aliongea nae mengi na kufurahi kwamba soon atapata mkwe.

Kinachoniumiza juzi amekuja toka Dar tena kaingia usiku, Jana asubuhi nikamuacha mi nikaingia job nakurudi jioni. Couldn't believe my eyes how my place changed within hours. Yaani palikuwa kama ghetto before but she managed to turn it into a home. Usafi kwa sana, rearrangement etc.

Sasa jana usiku alipata taarifa dada yake amefariki so anatakiwa arudi home fasta. Credit zilimuishia akaomba simu yangu apigie sasa katika kupakuapakua akakuta chats za WhatsApp na texts za kawaida ambazo they were very incriminating (how stupid of me). Alilia sana mpaka na mimi nikahisi maumivu mazito, alfajiri saa kumi na nusu ameamka akajiandaa akaomba nimuongezee nauli arudi zake without uttering any words.

Alivyoondoka kiukweli now I feel so lonely, nyumba sijui naionaje, niko kazini now but I'm feeling emptiness inside my soul...

Wanaume wenzangu a piece of advice: never take a woman for granted kwa maana you never know you have something until you lose it.

I'm sorry D.
Kwa hii tabia ya kutumia lugha zaidi ya moja hauwezi kuwa na msimamo wa unachokitaka maishani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom