I'm looking for job!

imani12

Member
Apr 10, 2015
31
4
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na moja. Nimemaliza Elimu ya Sekondari mwaka 21 natafuta kazi ya kuuza duka au stationary. Nimesomea Computer na nina uwelewa mkubwa sana katika Software zifuatazo: Microsoft Word, PowerPoint, Publisher, Excel, Networking and Internet Explorer. Pia nimesomea masomo ya biashara yaani Commerce na Book-keeping. Naomba mwenye kazi kati ya hizi anitafute kwenye namba zifuatazo: 0757191544 au 0655191544. Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom