IM in love with this ONE.....

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
Huyu bIbi sio siri amenivutia sana jinsi alivyo fit,bibi yuko mkakamavu hadi raha.
Mungu tusaidie mie na Uporoto wangu tukizeeka tuwe wakakamavu kama huyu grandy.
Mbibi kama huyu akienda kwa uchakachuaji na vijana wetu mabrazamen wa kileo wa breakfast sausage na lunch ya smashed potatoes si wanaweza bibi akawapelekesha hadi wakatoka mbio na boxer zao mkononi kweli??!!
Umri.jpg
 
mhh kumbe wakina mama huwa mnaona mengi kwa vijana wa kileo?
 
Huyu bIbi sio siri amenivutia sana jinsi alivyo fit,bibi yuko mkakamavu hadi raha.
Mungu tusaidie mie na Uporoto wangu tukizeeka tuwe wakakamavu kama huyu grandy.
Mbibi kama huyu akienda kwa uchakachuaji na vijana wetu mabrazamen wa kileo wa breakfast sausage na lunch ya smashed potatoes si wanaweza bibi akawapelekesha hadi wakatoka mbio na boxer zao mkononi kweli??!!
Umri.jpg

duh! upo... long time no see..... lol naona umekuja kivingine.... ila duh bibi ni fullmasi nondo a.k.a "full mass in order"
 
kweli kabisa long time no see pia,
mbona niko kawaida au unamaanisha kivingine vipi?
Umeona jinsi bibi alivyo full ngwamba.hiyo sio wa kuchezea.
 
Huyu bIbi sio siri amenivutia sana jinsi alivyo fit,bibi yuko mkakamavu hadi raha.
Mungu tusaidie mie na Uporoto wangu tukizeeka tuwe wakakamavu kama huyu grandy.
Mbibi kama huyu akienda kwa uchakachuaji na vijana wetu mabrazamen wa kileo wa breakfast sausage na lunch ya smashed potatoes si wanaweza bibi akawapelekesha hadi wakatoka mbio na boxer zao mkononi kweli??!!
Umri.jpg

duh! grand ma ka jet lee!
 
hhahahhahhaha lol huyu hatakaa aende kwenye rest home (retirement house) lol
 
kweli kabisa long time no see pia,
mbona niko kawaida au unamaanisha kivingine vipi?
Umeona jinsi bibi alivyo full ngwamba.hiyo sio wa kuchezea.

nah mamito nilimaanishat kivingine kwa hiyo photo..... i hope ukizeeka utakuwa kama huyo bibi.... ila uwache kula soseji moja as breakfast na sambusa mchana eti ndio lunch yako
 
hapana best mie sio mtu wa sausage na sambusa,mie mihogo viazi breakfast ugali tembele lunch.lazima nikizeeka niwe fit kama shosti wangu huyu!
 
Ha ha a Yule Bwana....Teh Kumbe bado Yupo nilimwacha December last year mara nikasikia kashatembea kumbe kasharudi...Mkurya yule.

da bibi yuko juu sana
................yote kwa yote lakini, Buswelu mkuu avater yako nimecheka mpaka nimemsifu Mungu
maana najua hiyo ni sehemu ya uumbaji wake siyo
 
Huyu bIbi sio siri amenivutia sana jinsi alivyo fit,bibi yuko mkakamavu hadi raha.
Mungu tusaidie mie na Uporoto wangu tukizeeka tuwe wakakamavu kama huyu grandy.
Mbibi kama huyu akienda kwa uchakachuaji na vijana wetu mabrazamen wa kileo wa breakfast sausage na lunch ya smashed potatoes si wanaweza bibi akawapelekesha hadi wakatoka mbio na boxer zao mkononi kweli??!!
Umri.jpg
Hamuwezi kwani mnatumika sana!!
 
Back
Top Bottom