cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Huyu bIbi sio siri amenivutia sana jinsi alivyo fit,bibi yuko mkakamavu hadi raha.
Mungu tusaidie mie na Uporoto wangu tukizeeka tuwe wakakamavu kama huyu grandy.
Mbibi kama huyu akienda kwa uchakachuaji na vijana wetu mabrazamen wa kileo wa breakfast sausage na lunch ya smashed potatoes si wanaweza bibi akawapelekesha hadi wakatoka mbio na boxer zao mkononi kweli??!!