Ilogi na Bugarama Bulyanhulu: Tunakuhitaji Lukuvi

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
May 4, 2010
480
128
Tunakuhitaji Mh. Waziri wa ardhi William Lukuvi ili utatue kitendawili cha sisi kupewa hati miliki zetu za nyumba tulizomaliza madeni Ilogi na Bugarama. Process ya kupata title deed inachukuwa miaka mingi sana. kuna watu wamemaliza madeni toka 2010 lakini bado wanasotea hati; - sijui tatizo nini- Je ni upande wa wizara serikalini pale Kahama au upande wa mgodi wa Barrick Acacia Bulyanhulu? Tunaomba Mheshimiwa uingilie kati suala hili la kiutendaji kama ulivyofanya sehemu nyingine hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom