ILO Social Security Inquiry - Economic and financial data - Benefits offered by NSSF Tanzania

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,022
9,943
Benefits offered by NSSF
  • Old age: Pension and grant;
  • Survivors benefits: Pension and grant;
  • Funeral grants;
  • Invalidity Benefits: Pension and grant;
  • Withdrawals;
  • Maternity benefits;
  • Employment injury benefits; and
  • Health insurance benefits.
1:ILO gani unayozungumzia mkuu. Maana Kama ILO haitambui mbona waliruhusu kwenye website yao waweke hiyo benefit kama benefit inayotolewa na NSSF Tanzania?

2:International Labour Standards on Social security
Angalia hapa pia BENEFITS 9 Ambazo mwanachama anatakiwa kupata. Kwa nini mtumie sheria ambayo wenzenu kwa busara waliamua wasitishe kwanza kwa sababu haikukidhi, Au ILO inatumika kwa FAO la kujitoa tu.

3:Hiyo hoja inayosemekana inakuja na kusambaa mitandaoni(Kama kweli)

Unemployment benefit
  • Convention No. 102 - [ratifications ]: periodical payments, corresponding to at least 45% of the reference wage.
  • Convention No. 168 - [ratifications ]: periodical payments, corresponding to at least 50% of the reference wage. Beyond the initial period, possibility of applying special rules of calculation. Nevertheless, the total benefits to which the unemployed may be entitled must guarantee them healthy and reasonable living conditions in accordance with national standards.
Sheria iliyotungwa iliruka hii benefit hapo juu. Unauhakika mifuko inauwezo wa kucompy na CONVENTION NO102, NA 168 YA ILO ILI MTU FAO LAKE LIZUIWE. KAMA HAIJAKOMAA KUFIKIA UWEZO WA KUMTUNZA MTEJA WAKE KWA VIWANGO HIVYO KWA NINI MLAZIMISHE? BADALA YA KUMUACHA MTEJA AWITHDRAW?

4:kWA NINI TUKIMBILIE vitu ambavyo hatuviwezi? kwa nini tusiige mfano wa UGANDA baada ya kuona kuwa hawawezi kutoa benefits zote 9, wakaamua KWa private companies wachukue pesa zao maana security ya kukaa hadi uzeeni ni ndogo?
There are nine sorts of benefit according to ILO Convention 102 and they include:

  • Medical care
  • Old-age benefit
  • Invalidity benefit
  • Survivors’ benefit
  • Sickness benefit
  • Maternity benefit
  • Employment injury benefit
  • Unemployment benefit
  • Family benefit
Are all the nine social security benefits provided in Uganda?

No. Employees of the private sector who contribute to the National Social Security Fund (NSSF) are entitled to five benefits, whichever comes first and they include:

  • Age benefit
  • Withdrawal benefit
  • Invalidity benefit
  • Emigration grant
  • Survivor’s benefit
Public servants are only entitled to Age or Survivor’s benefit.
SOURCE:For Employers: Social Security/Benefits in Uganda, Social Security in Uganda


Naomba nijibiwe kwa kina na kuelimishwa pia kama kuna sehemu niko nje ya mstari.
 
Wanalazimisha kupata hela ya viwanda mkuu.
Bora kwenye salary slip zetu zisome 2 taxes I,e Payee and Nssf/Ppf tax.
 
Wanalazimisha kupata hela ya viwanda mkuu.
Bora kwenye salary slip zetu zisome 2 taxes I,e Payee and Nssf/Ppf tax.
Sorry mazee,cause you are the only one out of million tanzania who can think the way you think!! Juzi nilimwambia mfanyakazi mmoja wa kampuni binafsi kuwa huenda asipate mafao yake ya Ppf atakapoacha kazi ikiwa ataamua kuacha kazi mwenyewe kabla ya muda wa kustaafu ambao Ni miaka 60!!kha! Karibu wanitoe roho,maana waliitana karibia kumi Na kuishambulia kwa maneno ya ghadhabu!! Wakaniita eti "Nyie ni Chadema tu!! Ndo munaleta chokochoko hizi,hakuna kitu kama hicho" Nikajiambia kimoyomoyo"kweli nchi bado ina mapimbi wengi.
 
Tumekuwa tegemezi wa fikra na Hall zote za kimaisha kila kitu lazima tupate miongozo kutoka kwa asasi za kimataifa.
Hii inaonyesha nchi zetu bado ni masikini sana na bado zimwi la ukoloni lililowatafuna mababu zetu linaendelea kututafuna.

Sasa thubutuni kutengeneza sheria zenu za mifuko ya hifadhi za jamii kulingana na mazingira yetu kama hamjakosa misaada mkaanza kulia njaa.

Jamani misada inatutesa sio sisi bali toka enzi ya mababu zetu tumerithishwa utegemezi.
 
Back
Top Bottom