Illustrator & shotoshop

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,228
9,821
Wanajamvi wasalaam, ni duka gani hapa Dar naweza kupata original programs illustrator and photoshop? Nitatashukuru kwa msaada wenu.
 
Hizo hela za kununua unaweza kudowload tu. Unatafuta Adobe Photospho gani cs5?

Lakini kama

  • una pesa zanatafuta matumizi subiri waje wadau wakupe majina ya maduka
  • Ukitaka kujaribu ya kuchakachua lakini ni original . Omba upewe mwongozi. Utakachohitaji ni internet tu.
 
Nashukuru mkuu, lakini nilitaka zinazopatikana madukani siyo za kudownload kwenye net.
 
Andaa Two Thousand US Dollars ndipo uende Madukani kuitafuta
 
Kama una access na credit card ni bora kwenda adobe.com au amazon.com hapa bongo inaweza ikawa ngumu maana tumezoea sana kuiba hakuna market.
 
Nashuru mkuu, Ikishindika kuipata hapo bongo itabidi niagize.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom