Illegitimate Kingdom! Jus Sanguinis, Jus Soli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Illegitimate Kingdom! Jus Sanguinis, Jus Soli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Apr 9, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Definition of illegitimate

  Stay tuned...
   
 2. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  What is this definition for????
   
 3. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Then what?
   
 4. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rev, heshima mbele!!! Is it what I think it is?? Well, ngoja tusubiri manake hiyo ni "one serious factor in .........."

  Twangojea hitimisho............
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nimepotea hata mimi na ujanja wangu wote .Ni codes za kitu gani hizi ?
   
 6. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Lunyungu, hata mimi nipo lakini sipo lakini kuna kitu Mkuu Rev anataka kutuwekea!!!! Ngoja nisije sema wala kufikiria visivyo nisubiri Rev atumwagie unono.....
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mchungaji kaamua kuwasuspend watu ila kuowangezea hamu? Tactic nzuri...
   
 8. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ju Sangunis =....citizen of that state and Jus Soli= Right of Soil

  This two words are mostly used to decribe the legal citizenship of a person and Mostly used in Canada and U.S.

  Do you want to tell us Balali..... ama ni O...a
  just speculation REv comeup
   
 9. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mali haramu...mtoto haramu?
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  mmh... let me try to reason here:

  a. Kama kweli CCM ilichota fedha Benki Kuu
  b. Kama fedha hizo zilitumika katika uchaguzi
  c. Kama waliochaguliwa kushika nafasi mbalimbali walitumia fedha hizo za wizi
  d. Kama mmoja wa waliochaguliwa kwa kutumia mgongo wa fedha za EPA au nyingine toka Benki Kuu ni kiongozi wa juu kabisa nchini
  e. Kama kiongozi huyo ametambua rasmi kuwa fedha zilizosaidia yeye kumchagua pamoja na wasaidizi wake ni za wizi na hivyo kuashiria kuwa ameingia madarakani kwa njia haramu


  Basi utawala wale......


  Nimejaribu; tukupe mji mzee?
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  What is statutory limitation za election pettition Tanzania? Nipeni mji...
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  2010! Uchaguzi wa Rais hauhojiwi na mahakama yoyote ile; ule wa Ubunge nadhani inatakiwa ufungue kesi siku tisini baadaya mshindi kutangazwa.. vinginevyo ndio umeula mkavu..
   
 13. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mmh nakupa mji wa Tanganyika masagati
   
 14. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dot za juu....... Impeachment!!!! Je sheria zinaruhusu??????
   
 15. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MKJJ, hapo nimekusoma...... hii ina maana kwa 2005 tumekula ya chuya sio?? 2010, Mungu atusaidie!!!
   
 16. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ya kwanza ni,
  A bastard (illegitimate Child) in the law of England and Wales was a person whose parents, at the time of their birth, were not married to each other. A person conceived to a couple not married to each other but who subsequently marry before the birth would not be treated as a bastard.

  Ya pili ni,
  A child born out of wedlock, or to a couple who were not married in a way recognized by the civil authorities. Under common law, if the parents later married one another, the child was legitimatized.

  Kama yote nimechemsha basi nakupa mji! Butiama!
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  Morani, kimsingi hiyo ya 2005 ndio imetoka hiyo as long as CCM ndio majority Bungeni.
   
 18. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  If the government in place (Executive and Legislative) was elected into office using illegal funds, money found illegally through fraud, money laundering, drug trafficing or else, what are the grounds for the government to be legit?

  If money stolen and obtained from BOT was used to finance the rulling party, hence giving the rulling party an upper hand to win a land slide victory in election 2005, then it is safe to say that we the poeple with our rights of blod and soil of Tanzania we were robbed of our elections through corruption and the governement we have both Executive and Legislative are illegal, regardles of if the people elected had knowledge of ilicit money or not.

  The question becomes what do we Jus Sanguinis, Jus Soli do about this? sit down and get played again? or demand justice?
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Apr 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  So far, there is no any law that forbid illegal funds from being used in political process. Zaidi ya yote hakuna sheria inayotaka vyama kuelezea pesa waliyonayo imetoka wapi na kwa nani. So, hata kama fedha iliyotumika si halali lakini as long as the political process ilifuatwa as laid down in the law basi uchaguzi unabakia kuwa halali.

  Sheria ya Uchaguzi ya 1985 na mabadiliko inataka makosa kadhaa ya uchaguzi lakini la chama kutumia fedha zisizo halali si mojawapo? (I'll have to be absolutely sure) as far as I understand it.

  Mzee the institutions zinaweza kuwa illegal kama wataoneshwa kuwa walivunja sheria fulani. So far, sidhani kama kuna sheria iliyovunjwa.

  Hivyo ndivyo wana CCM wajajibu...

  The question becomes what do we Jus Sanguinis, Jus Soli do about this? sit down and get played again? or demand justice?
   
 20. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mwanakijiji

  Unajua jinsi wapinzani walivyopagawa kutokana na matokeo ya uchaguzi wa 2005 na baadaye tunagundua kuwa yote haya yalikuwa ni kutokana na kiini macho cha hongo, basi uchaguzi ule ulikuwa ni haramu, hata kama muda wa kuweka pingamizi umepita.

  Tofuati na Zanzibar ambako ubabe ulitumika, Bara ni hongo ndio ilitumika, no wonder walipokuwa Butiama juzi, Wazanzibari waliweza kushinikiza kutupwa kwa muafaka (because they know another siri that, had Muungwana been tossed out from being mgombea 2005 he would have crossed to CUF and CUF would have forgiven him for Malima's down fall).

  Ikiwa mtu atakuja na kudai eti ushindi ulikuwa hauna mapigo na ni pesa haramu zilisaidia CCM kwa makusudi kabisa ili iendelee kuwa na kura nyingi Bungeni, inabidi tujiulize kulikuwa na maana gani kuwa na Ruzuku! Tukihalalisha chaguzi zetu kwa kutumia pesa haramu, tunaingiza madarakani Serikali haramu na hivyo tunakuwa Taifa la Maharamu!

  We need the following to take place before elections 2010 and if these steps are not taken, then Opposition should boycott the elections and demand Wafadhili, AU and UN to intervene!
  • We need elections law to be reformed and so is the National election commision
  • We need campain financing reforms, every money spent must be accounted on its sources and if the sources of money are legit and clean
  • We need new Katiba
  • We need independent candidates for both Revolutionary council, Union Parliment and both Presidential seats Zanzibar and Union
  We need to tighten the noose around CCM for it to reform or give up. I am glad to hear that through Wafadhili na Wahisani, the Serikali is ready to work on any political party coalition that could result in a new party without former party or elected officials (madiwani na wabunge) loosing their seats and hence calling for new elections.
   
Loading...