Illegally imported maize from Tanzania impounded in Kuria West

Teargas

JF-Expert Member
Mar 28, 2021
12,905
16,650
×
citizen-digital-logo
search-bg-1.png

Illegally imported maize from Tanzania impounded in Kuria West​

By Citizen Reporter For Citizen Digital
time updated
Published on: April 23, 2021 19:31 (EAT)

Illegally imported maize from Tanzania impounded in Kuria West

File image of maize. PHOTO| COURTESY

Police in Kuria West Sub County have launched an investigation into 150 tonnes of maize allegedly smuggled from Tanzania via ungazetted entry points and impounded at Gukipimo market in Kuria West Sub County on Thursday.
Kuria West Police Commander Cleti Kimaiyo stated that several traders linked to the maize impounded are required to record statements with the office of the Director of Criminal Investigation in Kuria West Sub.

Migori county commissioner Boaz Cherutich on Thursday led a multi-agency team in a day-long crackdown on smuggled maize.
Cherutich stated that the government is interested in learning the origins of the maize in various stores along the border, as well whether the grains have aflatoxins.
The county commissioner noted that during the exercise, which will be carried out by a multi-agency team, all traders who have maize stores in the region will be registered and their maize will be examined.

The county commissioner has also issued a warning to traders importing maize from neighboring countries, stating that the government has prohibited maize importation into the country.

For Citizen TVupdates​

Join @citizentvkeTelegram channel​

Imuume nani, nyie mnaobanaga na kuachia mkitingishwa kidogo. Ingeuma kama ingalikuwa ni watu mpo consistent, ila u know yourselves, tukibana kitu yenyu moja tu, gova yenu itabadilisha maamuzi
Mbona hatujawai lalamika? Nyinyi ndio munalalamika?
 
Angekuwepo mzee wetu john pombe dah hii issue angeshaipatia dawa kitambo sana,hawa wajinga wa sasa hivi eti wanataka diplomasia..diplomasia gani unataka kufanya na wakenya ewe mama Samia!!???
 
Angekuwepo mzee wetu john pombe dah hii issue angeshaipatia dawa kitambo sana,hawa wajinga wa sasa hivi eti wanataka diplomasia..diplomasia gani unataka kufanya na wakenya ewe mama Samia!!???
Hahaha hebu msikilizeni huyu hater wa Kenya? Wivu itawamaliza Malazy
 
Nionyeshe video ya Mkenya hata mmoja akilalamika. Mimi nitakupa ya Mtanzania.
Woi, video ya nn, nyinyi kuanzia TV zenu, Twitter, Kenya forums etc, kote huko nawaona mkilia bongo haijali covid, Tz wamezuia ndege zetu, tukaretaliate mlivyozuia our truck, Kenyans started crying like we started it, wacha kupretend bhana, nyinyi hamna kifua kwa bongo, you'll just bow down
 
Hahaha hebu msikilizeni huyu hater wa Kenya? Wivu itawamaliza Malazy
Kuishi Tanzania ni raha sana,siwezi kuwa na wivu na nchi ya kijinga kama Kenya..tazama mlivyowasaidia watanzania kabla ya ban yenu ile ya mahindi mtanzania alikuwa akinunua unga kg 1 kwa tsh 1200,now baada ya ban tunanunua unga kg1 kwa tsh 800..kwa hali hiyo nawezaje kuwa na wivu na kenya,nchi yenye njaa karne hii,can you immagine 2021 watu zaidi ya 1.4 million wanakosa chakula!!???...what f**k..
na cha kushangaza zaidi ban mmeondoa na mahindi yanaingia kama kawa,kukamata bidhaa inayoingia kinyume cha sheria ni sawa,hata sisi tulikamata vifaranga,tukavitia moto,juzi tu hapa tumekamata vingine navyo tumetia moto
 
Woi, video ya nn, nyinyi kuanzia TV zenu, Twitter, Kenya forums etc, kote huko nawaona mkilia bongo haijali covid, Tz wamezuia ndege zetu, tukaretaliate mlivyozuia our truck, Kenyans started crying like we started it, wacha kupretend bhana, nyinyi hamna kifua kwa bongo, you'll just bow down
🤣 🤣 🤣
Shida yenu Watanzania munapenda hadithi za vijiweni zisizo na proof yoyote. Yaani mwanasiasa wa siisiiemu akijipiga tu kifua eti Kenya wanalia, baas, huo ndio wimbo kila Mtanzania atalia mtandaoni ila ukweli ukiwauliza hawawezi kutolea. Video ndio hii hapa wakulima n wafanya biashara wa Tanzania wakililia soko la Kenya. Nionyeshe video ya Wakenya wakililia soko au bidhaa za Tanzania. Nionyeshe Wakenya wakilia eti mmezuilia ndege zetu. Usimeze habari zisizo na chanzo ovyo ovyo bhana. Mnajifanya vigogo kumbe ukweli nyinyi ni lightweights hapa East Africa. Ndio maana kila mara MK254 anawaeleza muunde vyama vingine muache kutegemea tu CCM maanake munaiabudu hadi CCM wakimwambia Tanzania ndio the biggest economy in the world munakubali tu. 🤣🤣🤣

Kuishi Tanzania ni raha sana,siwezi kuwa na wivu na nchi ya kijinga kama Kenya..tazama mlivyowasaidia watanzania kabla ya ban yenu ile ya mahindi mtanzania alikuwa akinunua unga kg 1 kwa tsh 1200,now baada ya ban tunanunua unga kg1 kwa tsh 800..kwa hali hiyo nawezaje kuwa na wivu na kenya,nchi yenye njaa karne hii,can you immagine 2021 watu zaidi ya 1.4 million wanakosa chakula!!???...what f**k..
na cha kushangaza zaidi ban mmeondoa na mahindi yanaingia kama kawa,kukamata bidhaa inayoingia kinyume cha sheria ni sawa,hata sisi tulikamata vifaranga,tukavitia moto,juzi tu hapa tumekamata vingine navyo tumetia moto
Hivi wewe unafurahia bei ya unga kuporomoka kisa wakulima wamekosa soko la mahindi na wanatafuta tu pa kudispose bidhaa zisiharibike? Nyinyi wabongo munahitaji somo la economics kama jana. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi wewe unafurahia bei ya unga kuporomoka kisa wakulima wamekosa soko la mahindi na wanatafuta tu pa kudispose bidhaa zisiharibike? Nyinyi wabongo munahitaji somo la economics kama jana. 🤣 🤣 🤣 🤣
We unafikiri soko lipo Kenya tu??..sisi wenyewe tunaweza kununua,matumizi ya mahindi hayajawahi kutosha..wacha kufikiri kwa kutumia matacoo
 
Shida yenu Watanzania munapenda hadithi za vijiweni zisizo na proof yoyote. Yaani mwanasiasa wa siisiiemu akijipiga tu kifua eti Kenya wanalia, baas, huo ndio wimbo kila Mtanzania atalia mtandaoni ila ukweli ukiwauliza hawawezi kutolea. Video ndio hii hapa wakulima n wafanya biashara wa Tanzania wakililia soko la Kenya. Nionyeshe video ya Wakenya wakililia soko au bidhaa za Tanzania. Nionyeshe Wakenya wakilia eti mmezuilia ndege zetu. Usimeze habari zisizo na chanzo ovyo ovyo bhana. Mnajifanya vigogo kumbe ukweli nyinyi ni lightweights hapa East Africa. Ndio maana kila mara MK254 anawaeleza muunde vyama vingine muache kutegemea tu CCM maanake munaiabudu hadi CCM wakimwambia Tanzania ndio the biggest economy in the world munakubali tu.

Kwa iyo media za Kenya zikireport wafanyabiashara wakikenya wanaotegemea kununua vitu Tz wauze Kenya, wakilalamikia ukosekanaji wa bidhaa mlozuia, ni CCM ndio wametuambia, CCM inawakosesha raha sana, eti, MK254 amongst all ndio unamrefer .
Rudi naira land kawadanganye kule
 
Back
Top Bottom