Ilkuwa ni ndoa ya mkeka ya wake wengi sasa haitaki tena.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Ujana kweli una utamu wake...............alipokuwa kinda akaolewa kwa ndoa ya mkeka alishangilia na kuweka dole gumba lake kwenye "huenda ikawa ndoa ya wake wengi"...aliyafanya haya yote akifikiria kapata kumbe kapatikana........

sasa ujana umepita na mumewe anaona mikunyanzi imeanza kwa mkewe -haioni ya kwake, lol - na uwezo wa kumudu majukumu yale yenyewe ya kitandani umeanza kupungua kwa hiyo akapitia mkataba wa harusi na kugundua kipengele walichokubaliana kuwa huenda ndoa hiyo itakuwa ya wake wengi...............baada ya kumshtua mkewe kuwa anafikiria kumpunguzia majukumu.........ugomvi wake umedumu sasa kwa miezi saba na hakuna suluhishi..................jamaa anasema nyumbani kwake ni uwanja wa vita....................na matusi tena ya nguoni hata siwezi kuyabandika hapa............

Jamani kumbukeni ujana una mwisho mnapofanya maamuzi kumbukeni kuna siku hamtakuwa lulu tena bali jiwe chakavu na hapo yasije kuwakuta haya yaliyomkuta aliyekuwa kivuto cha wanaumme wengi enzi zake.......
 
Socrates anasema ' Uzuri Unakopwa kisha Hurudishwa'!!!
 
Nafirikiri kila uamuzi ni sahihi katika wakati wake. Unapokubali kuoa/kuolewa mkeka ulikuwa na sababu zako ambazo ulifikiri ubaya na uzuri wake. Sasa kwanini uanze kuishi maisha ya miaka 50 ijayo leo....saa nyingi ukifiri sana with future utabaki with nothing.

This is special so true with love.....
 
smart gal....................lakini kama ulijua hiyo ni ndoa ya wengi sasa kigugumizi kinatoka wapi zaidi ya kumtakia kheri mumewe apate mke bora?.......huu wivu wa uzeeni watoka wapi na huku ukijua hata dini yaruhusu mzee afunge mabehewa mengine...tena upto to four...........
 
Huyo aunt atakuwa na kigugumizi cha ubongo simlaumu. She should have thought the concequences sasa hivi haitamsaidia ni majuto mjukuu.
 
huyo mwanaume pamoja na kuwa anajiona hana makunyanzi anaweza kumsatisfy mwamke wa pili atakayemuoa? Au anaoa kwa kuwa amewaka tamaa, akatafuta hila za kuhalalisha tamaa zake? Au anaolea wanaume wenzie?
 
Ukiwa na moyo wa nyama lazima ushtuke mumeo akikwambia anataka kuongeza behewa jingine,its not an easy thing kulipokea hilo swala huku umeonyesha meno na tabasamu, huyo mwanaume tamaa inamponza cause kama umri umeenda sana hatowezi kumridhisha mke wa pili badala yake atakua anaishi kama mfungwa!
 
Watu wengine wajinga kweli. Sasa wakati alipokuwa anafunga hiyo ndo alikuwa anafunga kwa malengo gani? Alikuwa anafanya mashindano?

Young Master..........hujui alipokuwa bado kigoli..................uzuri wake ulimhakikishia ya kuwa mumewe hawezi kuoa tena................................kumbe ujana nao ni tambara bovu...................leo jipya kesho limechanika vipande vipande........
 
Ukiwa na moyo wa nyama lazima ushtuke mumeo akikwambia anataka kuongeza behewa jingine,its not an easy thing kulipokea hilo swala huku umeonyesha meno na tabasamu, huyo mwanaume tamaa inamponza cause kama umri umeenda sana hatowezi kumridhisha mke wa pili badala yake atakua anaishi kama mfungwa!

Mama Isaack........hujui mume akizeeka anahitaji kidori wa kumrudishia ujana wake hata kama ni kuona bado yuko kwenye chati...........
 
huyo mwanaume pamoja na kuwa anajiona hana makunyanzi anaweza kumsatisfy mwamke wa pili atakayemuoa? Au anaoa kwa kuwa amewaka tamaa, akatafuta hila za kuhalalisha tamaa zake? Au anaolea wanaume wenzie?

ukweli ni kuwa hajatafakari kuwa hata yeye jua tayari limechwea..............na ya kuwa huyo dogodogo sanasana atamketa machungu kwa sababu anamfuata kwa sababu ya njaa yake akiisha shiba atakumbuka kuwa wako dogodogo zake ambao ndiyo saizi yake..................hapo huyu babu ndipo kilio na kusaga meno kinapoanza.........
 
Huyo aunt atakuwa na kigugumizi cha ubongo simlaumu. She should have thought the concequences sasa hivi haitamsaidia ni majuto mjukuu.

ni vigumu Madamex kufahamu kuwa kumbe ujana nao huyoyoma...................hadi yakufike ndipo utajua.........
 
Lulu angeipata hii kule Segerea najua ingesaidia sana kumrudisha kwenye mstari pindi atakapotoka

Sikujua kama Lulu naye ana mpango wa ndoa ya wake wengi...........
 
Kuna mjeda alijitwanga risasi yeye na mke mdogo....
Mamno haya haya ya wanaume kuwaona wake wa ujana wenu hawafai wamezeeka, akavuta bi mdogo..... Mwisho wa siku wasela wakawa wanamla, ikafikia kipindi wanamdrop getini......akiuliza anaambiwa 'wafanyakazi' wenzie.....baaada ya kufumaniwa live akamlipua mke mdogo na kujilipua mwenyewe too bad watoto wa mke mdogo walikuwa wadogo sana, primary school......sijui imeishia
vipi ile familia....

Wanaume mnapaswa kufikiri kabla ya kutenda, ila tatizo mihamko yenu ikipanda akili zinaamia kuleeeee

Back
Top Bottom