Forforty
Member
- Nov 13, 2019
- 86
- 85
Afadhali umewaza kidogo ila hiyo lami ya kushoto mpaka resort tatzo litakuwa halijaisha mana kuna foleni nyingine pale kimara mwisho ambayo moja ya sababu ni barabara inayoingia kwenda kimara mabondeni sijui ndo bonyokwa lakini pia kuna stend finyu iliyotengenezwa ambayo inasababisha daladala kushusha na kupakia barabara. Kiukweli hii nchi haina wataalam wamekaa kula kodi zetu tu.Baada ya barabara ya juu Ubungo flyover kuanza kutumika na kumaliza kabisa kabisa ule usumbufu wa foleni barabara ya morogoro sasa imekuwa kero kuanzia kiande cha rombo hadi kimara korogwe...
Mi huwa nasema kila siku kama ningekuwa Rais ningepunguza wafanyakazi kwenye idara nyingi sana serikali kisha nikawaajiri wataalam toka nje (wazungu) japo kwa miaka mitano tukawalipa mishahara Yao mikubwa naamini tusingekuwa na upuuzi kama huu tunaotengenezewa kila kukicha. Yaan wanachofanya viongozi wetu na wataalam wetu ni kuhamisha tatizo toka sehem moja kwenda sehem nyingine.