Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

Kwani cha ajabu ni kipi?
Kwani ukiamua kutembea hapa na Moro kwa mwaka mzima ukiwa na V80 unashindwa?
Si unatoka hapa unaenda Bagamoyo unakaa wiki, unarudi mpaka msoga unakaa mwezi unaenda chalinze unakaa mwezi ..... mwisho wa mwaka unafika Morogoro!

Tatizo critics wengi wa Biblia hawaijui. So huwa mnakosoa ambacho hamkijui. No wonder mnafanya mistakes za kitoto kama hizi!
Critics wa bible ipi??? Unaijua bible ww..au umekaririshwa maandiko..
 
Nonsense.

Hiyo kitu haina uhalisia na kma ilikuwepo, basi ilihusisha viumbe wa aina chache sana, tofaut na hayo maandiko ya dini za uongo yanavyokazia.

Taratibu waafrika mnaanza kuamka kutoka kwenye iman na vifungo vya akili mlivyofungwa na wakoloni wenu waliowaletea izo imani zenu uchwara.

Mkiendelea kuhoji mambo kama hivi, ukwel mtaupata mapema sana
1642325360735.jpg
 
Kisayansi...haiwezekani....
Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana
Apa walokole ndpo mnapofelig yaan, kutuaminisha vitu ambavyo haviwezekan na mnalazmisha viwwzekane bila kuwa na facts.

Jarbuni kuwa nje ya box, achen kufikir kama watoto wadogo
1642107503154.jpg
 
Hii nadhani ni point ambayo watu hatupendi kuijadili lakini ndo ina majibu yote.
Hii ya gharika kuwa sehemu hiyo pekee na sio dunia yote sio kweli. Moja hakukuwa na haja ya Safina. Mungu angemwambia tu Nuhu, hama nenda eneo fulani. Lakini pia ukisoma habari nzima utaona hii kitu haiwezekani:

Genesis 6:17 And, behold, I, even I, do bring a flood of waters upon the earth, to destroy all flesh, wherein is the breath of life, from under heaven; and every thing that is in the earth shall die.

Kila kitu kilichoko duniani kitakufa. Kwa maana hiyo hata kama kulikuwa na panya kwenye other side, ni kitu chenye uhai. Ili angalau hii hoja iwe na mantiki inabidi udhanie kuwa hakukuwa na kiumbe hai chochote kwenye sehemu nyingine za uso wa dunia. Maana hata kama kulikuwa na mjusi, gharika ilipaswa kuuangamiza. Hiyo ni hoja ya kwanza. Gharika ilikuwa ni lazima iwe dunia nzima!

Genesis 7:11 In the six hundredth year of Noah's life, in the second month, the seventeenth day of the month, the same day were all the fountains of the great deep broken up, and the windows of heaven were opened.

Wengi hudhani maji ya gharika mengi yalitoka juu. Ila ukweli ni kwamba reservoir ya maji chini ya dunia ndio ilileta gharika. Kupasuka kwa ardhi lazima kuliambatana na volcanic activitie na Tsunamis. Nadhani kwa waliofutilia ka volcano ka juzi kati Tonga wanaelewa ninachomaanisha. Na kwa sababa vilindi vikuu vyote vilipasuka, maana yake Tsunami kwenye bahari jumlisha maji kutoka nchi kavu kwenye vilindi chini na volcanic activities lazima dunia yote ilikuwa chaotic

Lakini mwisho kabisa, kuizika hii hoja:
Genesis 7:17 -19
" And the flood was forty days upon the earth; and the waters increased, and bare up the ark, and it was lift up above the earth. And the waters prevailed, and were increased greatly upon the earth; and the ark went upon the face of the waters. And the waters prevailed exceedingly upon the earth; and all the high hills, that were under the whole heaven, were covered"

All hills under the whole heaven were covered. That kills the whole deal. It had to be global deluge for ALL hills under the heaven to be under the water and for the ark to be lifted above the earth!

Kwa hiyo ni hoja inayoonekana kama ina mantiki, ila ukiiangalia kwa undani haina mantiki yoyote!
 
Apa walokole ndpo mnapofelig yaan, kutuaminisha vitu ambavyo haviwezekan na mnalazmisha viwwzekane bila kuwa na facts.

Jarbuni kuwa nje ya box, achen kufikir kama watoto wadogo
Unapoteza muda wako bro. Mwizi hawezi kukiona kituo cha polisi hata kama kiko mbele yake. Mwizi hawezi kumwona polisi hata kama kavaa uniform na ana kitambulisho. Shida sio polisi hayupo, ila mwizi anajua maana ya polisi mzuri ni nini. Mwizi na polisi mzuri havichangamani.

Wewe shida yako hata sio hizo copy and paste fake unazozileta. Shida ni kwamba una dhambi zako unazozipenda na unaona kama Mungu anaku interfere. Kwa hiyo unatafuta namna ya kujipa haki ya kuzifanya. Unahangaika sana ndugu ila dawa ni kuziacha hizo dhambi ni kumgeukia Mungu.

Najua utajikakamua kujibu hata kama moyoni hali ni tofauti ili usionekane "mshamba" hapa JF. Nakushauri tu usifanye ushabiki. Kwa sababu mambo haya yako wazi na kama unataka kuuona ukweli uko wazi sana. Ila kama umataka visingizio pia vipo vya kutosha. Naweza kukusaidia kukupa sites zitakazokupa visingizio angalau vyenye mwonekano wenye mantiki badala ya ujinga unaopost.

Lakini Jua haya:
1. Mungu yupo, na uwepo wake hauhitaji wewe kuamini ili awepo. Mwizi hata akijiaminisha hakuna polisi, halibadili kitu!
2. Utakufa na utakutana naye bila kumwamini. Mwizi hahitajia kuamini kuna polisi ili polisi wawepo. Hata kama haamini kuna polisi, atadakwa na polisi na sero atakwenda. Hivyo hivyo akiwa haamini kama kuna polisi. Imani yake ina athari sifuri kwenye uhalisia.
3. Atakuhukumu kwenda Jehanamu usiyoiamini. Mwizi hahitaji kuamini uwepo wa askari, mahakama wala jela. Zipo tu, na imani ya mwizi inaathiri kwa kiwango cha sifuri. Mungu atakuhukumu, na jehanamu utakwenda. By the time unafika kule utakuwa unajuta. Utakumbuka hizi post zetu zote ambazo kwa sasa "mjanja wewe" unazidharau.

Kuwa na akili, fanya utafiti bila kuwa na hiz prejudices zako na ukweli utaujua. ELse endelea tu na misha yako ila acha kusingizia kuwa ni ambo ya kijinga wakati tatizo sio hata hilo!
 
Watu wa dini hapa mepigwa na kitu chenye uzito mkubwa.
Tukisema iliwezekana kiroho kwanini sasa isingenengwa tu ya futi moja ili kuonyesha uwezo mkubwa zaidi wa Mungu na kumpunguzia kazi Noah?
Bila shaka gharika haikuwa ya dunia nzima. ninavyfikiri mimi kale ka mvua kalinyesha pale mashariki ya kati na Ulaya mashariki tu. Maana kwa dunia nzima hayo maji yasingeisha. ardhi yote hadi leo ingekuwa ndani ya maji.
 
Soma kwa ufahamu. Hakuna mahali Biblia imesema Nuhu achukue kila "species". Kwanza hata hiyo categorization ya species ni recent and never existed back then. What's so hard to understand?

Read what the Bible says and then criticize if you wish what the Bible ACTUALLY SAYS not your strawman version of it. Go read again that verse and if you find anything to do with SPECIES then there is something to discuss. Otherwise the whole premise is a lie and smear just to make the Bible look stupid. Only gullibles get caught by such juvenile fallacious argument
Kwa hiyo hii ni hadithi ya uwongo?
 
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?

Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.

View attachment 2084003
Huo urefu wa Noah's ark ni sawa na WA tanker la mafuta, zaidi ya urefu wa uwanja mmoja na nusu wa mpira goli mpaka goli, hamna Jinsi yakuitengeneza kwa mbao structure kama hiyo.

Ila Noah alikuwa shujaa kufuga Tembo wa wili kwa siku arobaini unahitaji sio chini ya Tani 12 za majani.... bingwa alitutusa zote peke yake!
 
Mbona hilo dogo tu, jiulize mtu aliekufa kwa siku tatu alifufukaje? Wakati damu, moyo n.k vilisimama!

Ya kaisari unamwachia kaisari, ya Mungu yanafanyika kwa uweza wa Mungu
Alafu nasikia huyo lazaro kuna watu alikuwa anawadai alipofufuka tu akaanza nao
 
Huo urefu wa Noah's ark ni sawa na WA tanker la mafuta, zaidi ya urefu wa uwanja mmoja na nusu wa mpira goli mpaka goli, hamna Jinsi yakuitengeneza kwa mbao structure kama hiyo.

Ila Noah alikuwa shujaa kufuga Tembo wa wili kwa siku arobaini unahitaji sio chini ya Tani 12 za majani.... bingwa alitutusa zote peke yake!
Kastori katamu
 
Mungu ni Roho anatenda ktk roho na mwili pia ndo maana watu wanaenda kumuomba ktk nyumba za ibada.. Anaweza kutenda nje ya uwezo wetu kufikiri na vikaonekana Kwa macho.
 
Back
Top Bottom