Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

Kwanini leo samaki hawamezi watu kwa siku tatu na kwenda kuwatapika?
Ule ni msemo tu, kiuhalisia yona alitumwa na mfalme kwenda ninawi, kuonana na mfalme shulmaneser aliekua anaugua na alikuwa ameshakabidhi madaraka kwa mwanae Shamsi Adnan,, lengo la delegation ilikua ni kwenda ku normalise uhusiano wao ili asyria asiivamie na kuiteka nchi ya yudah,
Huko ninawi alikaa siku tatu ndo akarudi yudah,
Lugha ya nahau, alimezwa na nyangumi na kutemwa siku ya tatu
Nyangumi ndo superpower Asyrian Empire
 
Gharika ya Nuhu ilitokea sehemu moja kwenye kijiji alichokuwa anaishi Nuhu Nuhu sio dunia nzima.. ila mwandishi wa wakati huo alikuwa na uwezo mdogo wa kufahamu jiografia hivyo akaandika dunia nzima maana alikuwa anadhania kile kijiji cha Nuhu ndio dunia yote
 
Kisayansi...haiwezekani....
Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana
fix number 2
 
Mbona hilo dogo tu, jiulize mtu aliekufa kwa siku tatu alifufukaje? Wakati damu, moyo n.k vilisimama!

Ya kaisari unamwachia kaisari, ya Mungu yanafanyika kwa uweza wa Mungu
Kwa hiyo we una amini kabisa ulimwengu mzima ni nuhu ru ambaye alikuwa akimiliki safina?

Hakuna watu waliokuwa wanamiliki boti ambazo zingewanusuru kipindi cha mvua?

Leo hii kuna wanyama ambao wanapatikana eneo fulani tu na huwezi kuwapata sehemu nyingine yeyote

Je una amini nuhu alikuwa anakazi ya kusafiri kila pori kuchkua sample ya hao wanyama?
 
Kisayansi...haiwezekani....
Ila kwa MUNGU Hata vilivyobebwa ni vidogo...ingeweza kubeba inavyotaka MUNGU..sio mtu...nenda kasome story ya LWANDA MAGERE..jinsi alivyoweka lita 3000 kwenye kibuyu cha kubeba mkononi....shida yetu technologia yetu ipo low sana

Kweli mkuu,,,

Technolojia yetu ipo low sana, nakubali. Maana ukifikiria ilikuwaje wana wa Israel walivyoweza kuvuka kwenye bahari ya sham maji ya bahari yakasimama kama ukuta kulia na kushoto kisha wakavuka pakavu?! Ni tekinolojia ya hali ya juu.

Ukifikiria waliwezaje kukaa jangwani miaka 40 nguo zao zisiharibike ,zisiwaruke wala viatu vyao visiharibike, wapate chakula cha mana kutoka mbinguni ni technology ya hali ya juu.

Ukiwaza ilikuwaje wazunguke mji wa Yeriko Mara saba kisha walipopiga kelele za shangwe mji mzima uanguke ni technology ya hali ya juu sana.

Ukifikiria ilikuwaje Yesu azaliwe na Mariamu bila baba ni tekinolojia ya hali ya juu sana.

Ilikuwaje Yesu ageuze maji kuwa divai, awalishe zaidi ya watu elfu tano kwa mikate mitano na samaki wawili, atembee juu ya maji bila kuzama na mengineyo zote ni technology ya hali ya juu sana!

Kweli naamini kuwa technologia yetu iko low sana!
 
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?

Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.

View attachment 2084003
Straw man's argument is when you create fake argument and beat it.
Noah's ark had no reason to reason to carry all species.
The Bible never said that Noah was to carry each species but EACH KIND.
One dog Kind (Pair of each of course) of all Kinds of dogs, not every single dog.
Now how many KINDS of animals do we have?

So your question is flawed, deceptive and misleading.
Ask right questions instead!
 
Watakuja kukwambia kuwa mahesabu ya zamani na ya sasa ni tofauti,kwamba milioni moja ya zamani in sawa na elfu 10 ya sasa hivi
Kawateka kirahisi kweli! Hakuna mahali Safina ilipaswa kubeba "species" zote za duniani. Mfano Mbwa pekee wana "species" nyingi sana ambazo ni variation ya Mbwa. Kwa hiyo Nuhu alipaswa kuruhusu Mbwa wawili tu na sio kila "species". Kwa hiyo suala la kubeba wanyama milioni 7+ ni swali la kupotosha.

Kwa aina za wanyama waliopaswa kuingia kwenye Safina, kwa muda ambao Safina ilikuwa inaelea, nafasi ilitosha na pengine kubakia.

So kawapiga na swali feki, mnademka nalo :)
 
Kila siku watu wa dini wanapigwa na kitu kizito kichwani.
Ah, kama maswali feki kama haya ndio kitu kizito basi hakuna kitu kizito duniani.
Maswali ambayo yamejaa logical fallacies, ya ku download kwenye internet.

Mengine haya hapa. Unaweza kuwa unamsaidia kuyaleta: Skeptic's Annotated Bible / Quran / Book of Mormon

Ukimuuliza Mrutheri hivi kwanini mnafanya harambee ya ujenzi wa kanisa huku mna kapu la sadaka ya ujenzi atakuona umelaaniwa
Unaweza kuwa na laana kweli. Kuhoji mtoa sadaka kwa hiyari yake na hujamsaidia kutafuta inaweza kuwa dalili ya laana pia!
 
Back
Top Bottom