Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

Poole sana

Sasa omba usikutane na hawa wa morogoro ( waluguru) baadhi lakini utaona rangi zote.
Asante mkuu, ila nakwambia bora hao waluguru, wafipa Ni wavivu na wengi wao ndio vibarua, yaani ukitaka kufanya kazi inayohitaji kibarua si rahisi kupata mtu tofauti na hawa sasa ufanyaji wao kazi usipomsimamia ujue kazi imeharibika, yaani Ni shida tuu hakuna afadhali

Lakini huu mkoa Ni blessed sana yaani Kuna fursa ila inahitaji usimamizi wa karibu sana
 
Aisee pole sana, watu wa namna hiyo kuendelea wakiwa wenyewe au ukiwa nao ni ndoto!
Wao wanaishi kuvuta pumzi ya Mungu tuu.

Ili ufanikishe jambo lako, ni vyema uongeze mtaji kwa kutumia watu wa mbali, wanaojua maana ya kazi.
Kabisa mkuu, hawa jamaa kupata maendeleo Ni kazi sana, binafsi sio muongeaji ila Kuna muda unahitaji kuwa na rafiki hata wakubadioisha nae mawazo ila kwa huku nina mwaka wapili sasa sina rafiki, Ni geto,kompyuta, mishe zangu bhaasi

Siwezi kukaa na watu hawanipi changamoto wala idea mpya na mbaya zaidi ni wepesi sana kuambukiza wengine tabia zao mbayambaya.
 
Habari zenu wana JF. Natumaini mu wazima wa Afya. Naomba niende direct kwenye mada tajwa. Mkoa wa Rukwa ni mkoa ambao asilimia 60 ya mapato yanatokana na kilimo. Mkoa una Ardhi nzuri na mvua zake ni za kuaminika kabisa. Mengi yanaongewa kuhusu mkoa huu ususani maswala ya kimazingara, lakini hauko hivyo kama ambavyo watu waliaminishwa. Labda kama ilikuwa zamani. Ni mkoa ambao ni mtamu kuishi.

Aidha katika mkoa huu kabila la wazawa ni Wafipa. Na kabila hili lina salamu nyingi kidogo kama Mwambauli, Mwalindauli, Mwakatauli, Mwazyukeni ..nk. (Sio mtaalamu wa lugha hii) Salamu hizi watu hawa wanaposalimiana huongea kwa upole sana, tena wengine hupiga na magoti kabisa. Huitikia salamu kwa unyenyekevu uliokisiri kama Ningooo, Taituuuuu, Yamkwaiiii, Sante kalesaaaaaa tena Kwa upole uliotukuka.

Tatizo sasa ni palee linapokuja swala la uaminifu katika biashara. Yee mweh! kwa kweli ni changamoto. Usije uka thubutu kutuma hela kwa baadhi ya watajwa hapo juu ati akukusanyie mazao, au akulimie, akutunzie mazao ili yakipanda bei uje kuuza. Hakika hela yako itakuwa umeichimbia shimo. Fursa zipo nyingi sana mkoani hapo lakini changamoto ni wazawa. Kila kona wageni wanalia.

Wageni hawana hamu. Wageni utawakuta wamejichokea hawana imani tena. Wageni wengi wana makovu makubwa sana ya kutapeliwa. Unaweza ukamwachia mtu magunia 500 kwenye ghala akutunzie na siku ukienda kucheki utasiki magunia yote 500 yameshauzwa.

Na mbaya zaidi aliyeuza utamkuta hapo akiwa anaongea kwa upolee akikwambia subiri msimu ujao utapata mahindi yako na utauza sana. Kah! Wageni Pesa wanazo ila uoga umewajaa. Wameshalizwa vya kutosha. Kwa kweli Wazawa badilikeni. Wekenu uaminifu mbele. Uaminifu ukiwepi mkoa utapiga hatua kubwa sana ya maendeleo. Over!
Ulivyoandika kwa upole na tahadhari, nadhani na wewe ni MZAWA!
 
Duuh pole pia ndugu, hii tabia inawaharibia sifa wooote hata Kama haupo hivyo, yaani Mimi nashindwa kumpa kazi mfipa na sahivi nimekua affected kabisa nikitaka kufanya kazi na mtu lazima nimuulize wewe Ni mf...pa japo sio poa ila nafanya kujihadhari mapema.

Anyway Bado nipo ufipani hapa maeneo ya mkoani, japo sikai sana town mishe zinanipa kutokatoka.
Ndo hivo mkuu! Nipo Majengo hapa.
 
Habari zenu wana JF. Natumaini mu wazima wa Afya. Naomba niende direct kwenye mada tajwa. Mkoa wa Rukwa ni mkoa ambao asilimia 60 ya mapato yanatokana na kilimo. Mkoa una Ardhi nzuri na mvua zake ni za kuaminika kabisa. Mengi yanaongewa kuhusu mkoa huu ususani maswala ya kimazingara, lakini hauko hivyo kama ambavyo watu waliaminishwa. Labda kama ilikuwa zamani. Ni mkoa ambao ni mtamu kuishi.

Aidha katika mkoa huu kabila la wazawa ni Wafipa. Na kabila hili lina salamu nyingi kidogo kama Mwambauli, Mwalindauli, Mwakatauli, Mwazyukeni ..nk. (Sio mtaalamu wa lugha hii) Salamu hizi watu hawa wanaposalimiana huongea kwa upole sana, tena wengine hupiga na magoti kabisa. Huitikia salamu kwa unyenyekevu uliokisiri kama Ningooo, Taituuuuu, Yamkwaiiii, Sante kalesaaaaaa tena Kwa upole uliotukuka.

Tatizo sasa ni palee linapokuja swala la uaminifu katika biashara. Yee mweh! kwa kweli ni changamoto. Usije uka thubutu kutuma hela kwa baadhi ya watajwa hapo juu ati akukusanyie mazao, au akulimie, akutunzie mazao ili yakipanda bei uje kuuza. Hakika hela yako itakuwa umeichimbia shimo. Fursa zipo nyingi sana mkoani hapo lakini changamoto ni wazawa. Kila kona wageni wanalia.

Wageni hawana hamu. Wageni utawakuta wamejichokea hawana imani tena. Wageni wengi wana makovu makubwa sana ya kutapeliwa. Unaweza ukamwachia mtu magunia 500 kwenye ghala akutunzie na siku ukienda kucheki utasiki magunia yote 500 yameshauzwa.

Na mbaya zaidi aliyeuza utamkuta hapo akiwa anaongea kwa upolee akikwambia subiri msimu ujao utapata mahindi yako na utauza sana. Kah! Wageni Pesa wanazo ila uoga umewajaa. Wameshalizwa vya kutosha. Kwa kweli Wazawa badilikeni. Wekenu uaminifu mbele. Uaminifu ukiwepi mkoa utapiga hatua kubwa sana ya maendeleo. Over!
nilishasema sitafanay biashara na watu wa sumbawanga, katavi tanga na kigoma. sitaki kutoa sababu. wala msiniulize sababu.
 
Naunga mkono hoja, hili kabila Ni tatizo sana (Nimeweka kiujumla kwasababu asilimia kubwa wanatabia hizo yaani katika kumi bhasi Tisa wanatabia za kishamba sana) Nilishawahi kumpa kazi mzee na familia yake anilimie siku nimemlipa 80% ya hela hakuonekana mwezi mzima baada ya hela kuisha ndio alirudi na familia yake akidai alipata msiba.

Kuna dogo nilimpa kazi siku niliyomlipa kesho yake hakuja nampigia simu ananiambia naumwa badluck jioni nilikutana nae yupo misele hela ilipoisha akarudi kuomba kazi bila aibu.

Mfipa akiwa na hela yakula siku moja anaweza kumtukana boss wake na ikiisha anarudi anaomba msamaha, Kuhusu kuomba msamaha hawanaga shida hawa ndugu tena atakupigia magoti Ila kubadilisha tabia yake Hilo haliwezekani yeye ataomba msamaha hata mara elfu kumi.

Kuna dgo mmoja juzi nilifanya nae biashara Ila nikamuomba namba yake maana hakunipa hela, bhasi sijui alinichukulia ninashida sana akanipa namba ya mke wake baada yakupiga ndio naambiwa Mimi Ni mke wake ngoja nimpelekee simu, Ile kufika niongee nae dogo alinipa shombo nikamjibu poa kwa ustaarabu, kesho yake hakunicheki ikabidi nipige tena nimuombe mke wake anipe namba ya jamaa kumbe dogo hata simu hana na hiyo simu ni mke wake ameweka laini kwa shosti ake. bhasi jamaa akapelekewa simu ila hakutaka kuongea namimi akamwambia mke wake mwambie asinisumbue aje ofisini tuongee. Kwa hasira nikajibeba toka mkoani mpaka chanji nikaenda kwenye kistudio chake anachoita ofisi nilimmaind sana yule dogo hana maisha yoyote Ila amejaa dharau, baadae nikabeba kompyuta yangu nikampa hela yake ya advance akaanza kulia eti bro nisamehe nakuomba ofisi sio yangu na hela sikutoa Mimi boss hatanielewa. Nikamjibu nimekusamehe ndio maana sijakutia vibao Ila kompyuta naichukua tuu.

WAFIPA SIO WATU NI VIUMBE WA MUNGU
Wafipa ni washenzi sana..mi walishanitia umaskini kwa dili za migebuka na dagaa
 
Asante mkuu, ila nakwambia bora hao waluguru, wafipa Ni wavivu na wengi wao ndio vibarua, yaani ukitaka kufanya kazi inayohitaji kibarua si rahisi kupata mtu tofauti na hawa sasa ufanyaji wao kazi usipomsimamia ujue kazi imeharibika, yaani Ni shida tuu hakuna afadhali

Lakini huu mkoa Ni blessed sana yaani Kuna fursa ila inahitaji usimamizi wa karibu sana
Tusaidie kuidentify hizo fursa zilizopo huko Rukwa
 
Naunga mkono hoja, hili kabila Ni tatizo sana (Nimeweka kiujumla kwasababu asilimia kubwa wanatabia hizo yaani katika kumi bhasi Tisa wanatabia za kishamba sana) Nilishawahi kumpa kazi mzee na familia yake anilimie siku nimemlipa 80% ya hela hakuonekana mwezi mzima baada ya hela kuisha ndio alirudi na familia yake akidai alipata msiba.

Kuna dogo nilimpa kazi siku niliyomlipa kesho yake hakuja nampigia simu ananiambia naumwa badluck jioni nilikutana nae yupo misele hela ilipoisha akarudi kuomba kazi bila aibu.

Mfipa akiwa na hela yakula siku moja anaweza kumtukana boss wake na ikiisha anarudi anaomba msamaha, Kuhusu kuomba msamaha hawanaga shida hawa ndugu tena atakupigia magoti Ila kubadilisha tabia yake Hilo haliwezekani yeye ataomba msamaha hata mara elfu kumi.

Kuna dgo mmoja juzi nilifanya nae biashara Ila nikamuomba namba yake maana hakunipa hela, bhasi sijui alinichukulia ninashida sana akanipa namba ya mke wake baada yakupiga ndio naambiwa Mimi Ni mke wake ngoja nimpelekee simu, Ile kufika niongee nae dogo alinipa shombo nikamjibu poa kwa ustaarabu, kesho yake hakunicheki ikabidi nipige tena nimuombe mke wake anipe namba ya jamaa kumbe dogo hata simu hana na hiyo simu ni mke wake ameweka laini kwa shosti ake. bhasi jamaa akapelekewa simu ila hakutaka kuongea namimi akamwambia mke wake mwambie asinisumbue aje ofisini tuongee. Kwa hasira nikajibeba toka mkoani mpaka chanji nikaenda kwenye kistudio chake anachoita ofisi nilimmaind sana yule dogo hana maisha yoyote Ila amejaa dharau, baadae nikabeba kompyuta yangu nikampa hela yake ya advance akaanza kulia eti bro nisamehe nakuomba ofisi sio yangu na hela sikutoa Mimi boss hatanielewa. Nikamjibu nimekusamehe ndio maana sijakutia vibao Ila kompyuta naichukua tuu.

WAFIPA SIO WATU NI VIUMBE WA MUNGU
Eti ni viumbe wa Mungu
 
Siku ukifanya na wa kaskazini amini utaongeza list.
hamna kabila nilibakisha hapa Tanzania. nimeishi moshi, arusha, dodoma, tanga, bukoba piga sana kachabali, kusini nimeishi mbeya, songea, iringa achana na kuishi ila nimesafiri na kukaa kaa hizi wiki moja moja karibia mikoa yote, hao wanaojifanya wanaenda jando na unyago buruza najua radha zote mkuu.
 
Mimi ni Mfipa, mtoa mada na mchangiaji namba 8mnayosema ni kweli kabisa, ila waaminifu wapo baadhi.

Nilipigwa na brother gunia 10 za mahindi wakati nipo chuo, tena bro ni mtumishi kabisa. Niko disappointed sana na siwezi fanya nae issue. Ila baadhi ya vijiji kama Katete (kijiji cha mwisho ufike mpakani Kasesya) nimefanya biashara ya mazao kwa uaminifu mkubwa.

Tamaa ya vitu vidogo inawaponza sana Wafipa wenzangu hivo kuharibu reputation kwa wote. Yaani Mfipa ndugu yako kabisa yupo radhi akutapeli urudi nyuma. Very useless people.

Pia, wengi wana kasumba ya ulozi, ukifanikiwa kidogo tu, Mwanga, unaua nduguzo, kesi za kipuuzi, kutishiana uchawi. Hata watu walioshika uchumi wa mkoa sio Wafipa.
Mkuu sio wote tuko hivyo mimi mwenyewe ni mfipa ila ninadada yangu nae ni mfipa akiwa hana hela namsapoti na anairudisha na mimi nikikosa na ninataka kufanya kitu ananisapoti na ninairudisha, tena huyo dada yangu ni mtoto wa shangazi means binamu. Sometimes anaweza amua tu kunisapoti ninapo fanya jambo la maana na mimi nikamsapoti bila kudaiana.

Kuhusu suala la uaminifu wa Tz wengi sio waaminifu wawe wafipa, wahaya, wajita, wabende, wamakonde, wasukuma n.k uaminifu kwa sasa kwenye suala la pesa hakuna, hivyo msituseme wafipa bhana acheni hizo.
 
Halafu kote ulikotaja wana ile ardhi nyeusi yenye rutuba ya asili, ukipanda msindi mche unakues mnene na majani yanakuwa kijini kilichokolea kiasi cha kutaka kuwa cheusi
 
Unataka kulima kwa simu eeeh...wabongo wanapenda mseleleko Sana...nadhani Ni mikoa yote watu design hiyo...hizi kazi za kilimo it's better ukawa front mwenyewe...we umpe mtu pesa akulimie halafu mwisho siku akupe mahindi yako haya hapa nadhani unamweka hata huyo mtu majaribuni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio wote tuko hivyo mimi mwenyewe ni mfipa ila ninadada yangu nae ni mfipa akiwa hana hela namsapoti na anairudisha na mimi nikikosa na ninataka kufanya kitu ananisapoti na ninairudisha, tena huyo dada yangu ni mtoto wa shangazi means binamu. Sometimes anaweza amua tu kunisapoti ninapo fanya jambo la maana na mimi nikamsapoti bila kudaiana.

Kuhusu suala la uaminifu wa Tz wengi sio waaminifu wawe wafipa, wahaya, wajita, wabende, wamakonde, wasukuma n.k uaminifu kwa sasa kwenye suala la pesa hakuna, hivyo msituseme wafipa bhana acheni hizo.
Uko sahihi mkuu, sema generally tuna shida mahali.
 
Back
Top Bottom