Ilitokea Jana Gengeni

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
BananasGoneBad.jpg


cc Boflo MziziMkavu sosoliso Preta Paloma
 
Last edited by a moderator:
Hii niliiona hapo gengeni........halafu huyo ndizi sijui alikuwa kalewa......alipotoka hapo alimfuata fenesi......
Nikupe joke moja : huko sokoni wakati wa usiku matunda yalobaki huwa wanazunguma na yaani Apple hujfanya yeye anapendwa sana Zabibu hujidai yeye hudokolewa sana na Embe pia, wengine huonjwa sana...Bwana ndizi akajidai mimi ni dume wenu kujionyesha! wee wote wakamjibu wewe ndizi huvuliwa nguo zako na kuachwa uchi mtupu na kuliwa bila hata kubbakiziwa chupi!!(kokwa) "Sorry in advance" usiku mema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom