Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
lazima vikimbie............alaaaaaaaaaaa
hii Dr. kwa uelwa wangu ndizi haliwi ila baada ya kuvuliwa (aibu tupu), sasa vipi ajifanya mbabe .... ajabu hiyo!Hii niliiona hapo gengeni........halafu huyo ndizi sijui alikuwa kalewa......alipotoka hapo alimfuata fenesi......
Nikupe joke moja : huko sokoni wakati wa usiku matunda yalobaki huwa wanazunguma na yaani Apple hujfanya yeye anapendwa sana Zabibu hujidai yeye hudokolewa sana na Embe pia, wengine huonjwa sana...Bwana ndizi akajidai mimi ni dume wenu kujionyesha! wee wote wakamjibu wewe ndizi huvuliwa nguo zako na kuachwa uchi mtupu na kuliwa bila hata kubbakiziwa chupi!!(kokwa) "Sorry in advance" usiku memaHii niliiona hapo gengeni........halafu huyo ndizi sijui alikuwa kalewa......alipotoka hapo alimfuata fenesi......
Kwa kosa la kuonyesha wenzake silaha za uharibifu
Usiku wake......