Ilimtoka povu dkt. Asharose Migiro alipotembelea mkoani Njombe

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99

Gari aliyokuwa amepanda Katibu wa NEC,Siasa na mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose Migiro ikiwa imepoteza muelekeo,kufuatia eneo hilo kukumbwa na utelezi mkubwa kutokana na mvua iliyokuwa
imenyesha.Dkt.Migiro alikuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana walipokuwa wakitokea Wilayani Makete kuelekea Wilaya mpya ya Wanging'ombe,mkoani Njombe mapema leo ambapo hata hivyo walifika salama na kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii.
Juhudi ya kulinasua gari hilo zikiendelea kufanyika.
Pichani Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na wadau wengine wakitoka kutoa msaada wakati gari ya Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa iliponasa kwenye tope.

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro akiwa amesimama kando kando ya barabara akisubiri gari yake iliyokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana,iondolewa mara baada ya kunasa kwenye tope,kufuatia eneo hilo kuharibika kutokana na mvua kunyesha na kusababisha utelezi mkubwa eneo hilo.
Juhudi za kulinasua gari hilo zikiendelea.
Eneo linavyoonekana
Gari ikiwa imekwishaondolewa kwenye eneo korofi tayari kwa kuendelea na msafara kutoka Wilaya ya Makete kuelekea Wilaya mpya ya Wanging'ombe,mkoani Njombe.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,ItIkadi na Uenezi,Nape Nnauye,Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro amemaliza ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya na baadae kupitia mkoa wa Njombe kukagua baadhi ya miradi mbalimbali na kazi za kijamii.

NB:BILA HAYA CCM WANAJIVUNIA MAENDELEO YA TZ TOKA UHURU MIAKA 50+ ILIYOPITA
DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!

Mimi ningefurahije lingedumbukia hapo kwenye daraja,sijui kwanini haijatokea hivyo.
 
Walikuwa wanaenda kuwaambia wananchi maendeleo ambayo CCM imeyafanya kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 ya uhuru ambapo barabara zinapitika muda wote......Mnafiki LICCM liumembuka lenyewe nyumbafu zake!!
 
Gari aliyokuwa amepanda Katibu wa NEC,Siasa na mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose Migiro ikiwa imepoteza muelekeo,kufuatia eneo hilo kukumbwa na utelezi mkubwa kutokana na mvua iliyokuwa
imenyesha.Dkt.Migiro alikuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana walipokuwa wakitokea Wilayani Makete kuelekea Wilaya mpya ya Wanging'ombe,mkoani Njombe mapema leo ambapo hata hivyo walifika salama na kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii.
Juhudi ya kulinasua gari hilo zikiendelea kufanyika.
Pichani Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na wadau wengine wakitoka kutoa msaada wakati gari ya Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa iliponasa kwenye tope.

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro akiwa amesimama kando kando ya barabara akisubiri gari yake iliyokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana,iondolewa mara baada ya kunasa kwenye tope,kufuatia eneo hilo kuharibika kutokana na mvua kunyesha na kusababisha utelezi mkubwa eneo hilo.
Juhudi za kulinasua gari hilo zikiendelea.
Eneo linavyoonekana
Gari ikiwa imekwishaondolewa kwenye eneo korofi tayari kwa kuendelea na msafara kutoka Wilaya ya Makete kuelekea Wilaya mpya ya Wanging'ombe,mkoani Njombe.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,ItIkadi na Uenezi,Nape Nnauye,Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro amemaliza ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya na baadae kupitia mkoa wa Njombe kukagua baadhi ya miradi mbalimbali na kazi za kijamii.

NB:BILA HAYA CCM WANAJIVUNIA MAENDELEO YA TZ TOKA UHURU MIAKA 50+ ILIYOPITA
DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!

yeah, haya ndiyo maendeleo ya ccm ktk miaka hamsini ya utawala wao?
 
nimefurah sana kwa changamoto hzo watawabana mawaziri wajenge na huko barabara
 
Kweli Mungu huwa anasikia vilio vya wanyonge
na bado hapa ndo mwanzo tuu
Watapambana na CDM mwishoni watajipambanisha wenyewe
Wanakazana kuwaua waliojiunga na CDM sasa wanakazana kujiua wenyewe
CDM hadi kieleweke tunahitaji hata kufikia hatua iliyofikiwa na SA
Ila sio ndani ya CCM ni ndani ya chama pendwa CDM
 
Duh wana bahati kweli sijui kwa nini Israel ailikuwa kaenda kupumzika,hawatakuja kurudi tena huko maisha yao yote.
 
CCM wamewapa kazi ya kutafuta masoko bila ya kuangalia aina ya bidhaa wanayotaka kuipeleka sokoni! inahitaji moyo sana kwenda kuwauzia waumini safi (watanzania) bangi!!!...wananchi wamechoshwa na kejeli zenu! mnawanunulia ambulance za bajaji huku ninyi mnatembelea mashangingi na bado linakwama!
 
Mimi ningefurahije lingedumbukia hapo kwenye daraja,sijui kwanini haijatokea hivyo.

Hata lingezama huko shimoni mkuu....mwezi mmoja baadaye kingeagizwa kitu kipya toka Japan kwa mgongo wa kodi yako.
 
mkuu, kwa hawa bora mtu aondoke nafasi yake iletwe gari mpya toka japan. tumechoka kuiona hii miuza sembe na tembo wetu..huyo dereva ovyo kabisa, hana shabaha mpaka anakosa limto lote hilo!!?
 
Huko wanaohangaika kuzunguka mbona wanapoteza muda badala ya kufanya utekelezaji wa ilani yao ya uchaguzi? Mwisho wa muhula watajutia muda wanaopoteza na pesa wanazomwaga badala ya kutekeleza ilani yao ya uchaguzi wao wako wanagagaa matobeni eti kunadisha sera na kukuza uhai wa chama.
Badala ya kuonyesha utendaji wa utekelezaji wa ilani mko njiani na tope lote hili eti kunadi sera kama wafanyavyo wanaotaka kushika dola. Hatuhitaji sera kwa vile mlishazinadi, tunachotaka ni utekelezaji wa mliyoahidi, nafasi za kunadisha sewa waachieni wasiotinga Magogoni.

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro akiwa amesimama kando kando ya barabara akisubiri gari yake iliyokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana,iondolewa mara baada ya kunasa kwenye tope,kufuatia eneo hilo kuharibika kutokana na mvua kunyesha na kusababisha utelezi mkubwa eneo hilo.

UKIONA MTU MZIMAZIMA ANAGAAGAA MATOPENI HIVYO
UJUE YAMEMWELEMEA,
NA HAITACHUKUA MUDA ATACHANGANYIKIWA.​

Kusini Nyanda za juu majira ya masika si sawa na kule ulikozoea NY ulikokuwa kaumu katibu Mkuu umoja wa Mataifa ROSE MIGIRO, ambako ulizoea subway kukufikisha kazini usipotaka kutumia usafiri wako. Leo unaweza jutia nafasi uliyopata kutoitumia vizuri na kuridia mazingira ya ulikokulia. Usichezee bahati, unaweza kuchanganyikiwa.
 
walitegemea waamabiwe kuwa ni watuwa kazi,kumbeni watuwa viporo..walizoea kutengenezewa barabara ili wapite tuu halafu wakale vya masikini.As kufika kwa kulikuwa zawadi.

Safi wana njombe sasa hivi wajitengenezee barabara wenyewe ili wapite........shenzi type hawajui kuwa watu hawana time nao.eti wanapendwa na kukubalika na watanzania?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom