Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,480
- 30,152
- Thread starter
- #21
Ni ukweli kwa asilimia 100Hilo ndio moja ya tatizo kubwa katika huu Muungano wetu, Kiulweli Zanzibar inadharauliwa sana huku Bara haipewi kabisa stahiki yake kwenye muungano. Hata unapoona wanaamua kushirikisha Zanzibar ni baada ya kustuliwa tu hi hutokana kuwa haikuwemo kabisa kweneye mipango yao.