Ilikuwaje kamati ya uratibu wa mazishi ya Magufuli, hapo awali "waliwaengua" Zanzibar katika shughuli ya kuaga mwili?

Hilo ndio moja ya tatizo kubwa katika huu Muungano wetu, Kiulweli Zanzibar inadharauliwa sana huku Bara haipewi kabisa stahiki yake kwenye muungano. Hata unapoona wanaamua kushirikisha Zanzibar ni baada ya kustuliwa tu hi hutokana kuwa haikuwemo kabisa kweneye mipango yao.
Ni ukweli kwa asilimia 100
 
Back
Top Bottom