Hivi nyie ndo mlikuwa mnasema Mdude ni muuza madawa ya kulevya au siyo nyie? Acheni kubambikizia wananchi kesi zisizo na kichwaNakuunga mkono. Unakumbuka hata Kambona alipanga uhaini japo alikuwa serikali tena waziri. Mbowe kuwa mwanasiasa haina maana hawezi fanya makosa. kama ulivoshauri ni kweli tusubiri ushahidi mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.