Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Hayo yote yanahusikaje na kuhamishia fedha kwenye akaunti nyingine, tuache uongo!
 
Back
Top Bottom