Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Kuna ka ukweli kadogo, japo na wao kina mwanyika ilikuwa ni salama yao. Na hii bila kuficha ilitokana na influence kubwa aliyo kuwa nao Mwanyika The Attoney General . Tupo pamoja Mkuu. Ukitoa comment / uzi / Habari ikinyooka I will always give you a pat on your back.
Mwanyika former AG ni mpare.
 
Sio kweli bwana, ccm chama kisafi sana na hakuna mfano wake duniani.

Niambie Magufuli alimpa nani rushwa ili apitishwe na ccm kugombea uongozi wa vyombo vya dola
Kaiweka ccm mfukoni..... Manunuzi ya ndege na ujenzi wa chato mkuu ni skendo chafu sn just wait n see......
Ile 1.5trn iliyopotea ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wa awamu zote zilizopita ukiuweka pamoja
 
Kaiweka ccm mfukoni..... Manunuzi ya ndege na ujenzi wa chato mkuu ni skendo chafu sn just wait n see......
Ile 1.5trn iliyopotea ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wa awamu zote zilizopita ukiuweka pamoja
Magufuli msafi sana. Nyie mnasafisha tu
 
Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge,

Namuombea mafanikio awe sehemu ya mawaziri endapo ccm watachukua nchi.
Namfahamu Deo toka akiwa mdogo, tumesoma nae, kwa kifupi ni mwanasheria nguli, na ni debater mzuri sana toka akiwa shule ya msingi ,sekondari, chuo kikuu lakini pamoja na ukwasi alionao na madraka aliyonayo ni mtu poa sana hasau kwa mtu ambaye anamfahamu si ajabu wana Njombe wanamkubali, Deo hajui shida au njaa toka utoto wake, baba yake mzee Mwanyika alikuwa mwalimu mkuu,mwalimu chuo cha ualimu na wote tunajua waalimu wa miaka ya 70 walivyokuwa na hadhi na uwezo na maadili mema, na ndivyo alivyo Deo, humsikia akipaza sauti lakini ni mtu makini sana. jamaa ana kipaji.
 
Back
Top Bottom