makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 3,761
- 3,019
Hakuna lolote sababu upo kwenye nchi ya amani ambayo wengi hawana na unapata na muda wa kuingia JF unaandika uharo na point sababu ya wenzako wanaoteseka kwa mishahara midogo tu kwaajil yakoHakuna lolote
Mademu wazuri kinomaZipo taarifa kwamba mmoja wa Waandishi wa Habari aliyefariki kwenye ajali iliyotokea Mwanza na kuua watu zaidi ya 14 , ambaye alikuwa anafanyia kazi zake kwenye gazeti la CCM alikuwa Askari Polisi na Amezikwa kwa heshima zote za Jeshi hilo mkoani Arusha.
Swali langu ni hili, ilikuwaje Askari huyu kuwa Mwandishi wa chombo cha CCM, haya mambo yanaruhusiwa kikatiba?
View attachment 2079854Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...www.jamiiforums.com
Huyu Semunyu selemani pia ni promota wa ndondi...alipromoti pambano la Dulla mbabena KIDUKU...pia pambano la yule Mkongo na Kindunda....kama sijakosea.Ni kawaida sana, wapo wengi sana kwenye vyombo vya habari. Unamkumbuka aliyekuwa anatangaza kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Semunyu Selemani ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi. The same jamaa anaitwa Hope Dagaa alikuwa Star TV pia ni Kapteni wa Jeshi. Hata huyo Musiba alikuwa mwanajeshi pale Ngome
Mwenzako Sirro alikimbia studio kwa swali kama hilo , haya tueleze weweUkisikia intelijensia unaelewaga nin labda?
Sehemu kubwa ya dunia ina amani, ni sehemu chache sana zilizobaki zisizo na amani.Hakuna lolote sababu upo kwenye nchi ya amani ambayo wengi hawana na unapata na muda wa kuingia JF unaandika uharo na point sababu ya wenzako wanaoteseka kwa mishahara midogo tu kwaajil yako
Johari ni mwandishi wa Uhuru media siku nyingi hapo mwanza ndugu, just ask to be certain. We know her.
View attachment 2080626
Unaelewa nin maana ya secret services, ulitegemea siro amwage siri za kambi kwa civilian sio kila kitu ni siasaMwenzako Sirro alikimbia studio kwa swali kama hilo , haya tueleze wewe
Bora wasingerevolve her identity maana naamini alikuwa mdukuzi(informant perhaps C.I). Nchi ina mambo ya hovyo sana.
Humu JF kila mtu mwenye smartphone au anaweza kuingia, hakuna cha ajabu hapo.Unashangaa police officer kuwepo huko! Mbona humu wamejaa under covers kibao. Usalama wa nchi unahitaji hivyo wala si vitu vya kushangaa.
Mambo ya usalama yatakuumiza kichwa bure ndugu yangu. Uliwahi kusikia budget yake ikipitishwa bungeni? Je Uliwahi kusikia CAG akitoka report yake kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama?Natamani kamanda Siro ajibu swali hili. Na asipo lijibu itakuwa ni fedheha sana kwa jeshi la police. Pia aambatanishe na sheria make hii ni kinyume na civil servant act na regulations zake
Kwakweli ni dugu mojaKwani hufahamu kuwa polisi na ccm ni ndugu wamoja!?
Umeona like yangu huko?Bora wasingerevolve her identity maana naamini alikuwa mdukuzi(informant perhaps C.I). Nchi ina mambo ya hovyo sana.
Vitu vingine uwe unameza mateHivi unajua kama yule assistant referee aliyeko cameroon Frank Komba ni polisi tena Instpekta..
Kidoogo labda akijiongeza ndio anapatia huko hukoWatu kazini,hivi ikiwa hivyo anakua na double salary au?