safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,839
We jamaa uko negative sana na naona namna unavyoteseka na nchi ambayo unaitaka lakini haipo.Hakuna lolote
We jamaa uko negative sana na naona namna unavyoteseka na nchi ambayo unaitaka lakini haipo.Hakuna lolote
Ni kweli nateseka sana na uharamia wanaotendewa wananchi , ndio maana sijalala mpaka ukombozi utakapopatikanaWe jamaa uko negative sana na naona namna unavyoteseka na nchi ambayo unaitaka lakini haipo.
Hajui hata huko upinzani kuna wadau wameshapenyezwa kitambo sana na nchi inaenda vizuri tu.hahahaha, usilolijua kama usiku wa giza..
Hata huyo dada wangemzika tu kwa dini yake pia usingejua kitu, ungebaki gizani hivyo hivyo.
Unafikiri suala la usalama ni siasa za CCM na CDM....wewe kula ugali tu kwa amani na utulivu huku ukienjoy atmosphere iliyopo...
Utapata tabu sana aisee.Ni kweli nateseka sana na uharamia wanaotendewa wananchi , ndio maana sijalala mpaka ukombozi utakapopatikana
Sasa mbona kwenye kesi nyingi kila siku tunasikia upelelezi hujakamilika
Vijana hawaelewi loloooote hapa nchini wanakuwa wakaidi tu,ndio maana wapuuzi wengi sana wanadhani wako huru kufanya kila upuuzi popote wanapokuwaUnachobisha ni kipi ndugu yangu.Frank Komba ni inspector wa polisi.
Mungu fundi bana.Mungu anawaumbua
Pole .ila jua wapo kila media kila idara za Nchi ,Wauza kahawa,Bodaboda, Machizi,Machinga ukiwa unaongea huko chunga usalama wako .Natamani kamanda Siro ajibu swali hili. Na asipo lijibu itakuwa ni fedheha sana kwa jeshi la police. Pia aambatanishe na sheria make hii ni kinyume na civil servant act na regulations zake
Hakuna aibu yoyote wala kuumbuka,wangetaka kumzika kawaida wangemzika na usingejua chochote kile.Mungu fundi bana.
Wote hao wanalipwa mishahara?Pole .ila jua wapo kila media kila idara za Nchi ,Wauza kahawa,Bodaboda, Machizi,Machinga ukiwa unaongea huko chunga usalama wako .
Wote hawa wanalipwa mshahara kama watumishi wa umma?Yupo mzee ana kiduka chake cha dawa, pia ni mchungaji ila linapokuja suala la Usalama wa nchi, huyo ni mtu mwingine kabisa. Hiyo ni kawaida, hao wanaweza wekwa popote pale na maisha yakaenda mpaka pale mfumo utapoamua kipi ni kipi.
Sasa hapo shida nini?Hivi unajua kama yule assistant referee aliyeko cameroon Frank Komba ni polisi tena Instpekta..
Johari alikua polisi kitengo cha Intellejensia ile ilikua camouflage poleni sana wafipaZipo taarifa kwamba mmoja wa Waandishi wa Habari aliyefariki kwenye ajali iliyotokea Mwanza na kuua watu zaidi ya 14 , ambaye alikuwa anafanyia kazi zake kwenye gazeti la CCM alikuwa Askari Polisi na Amezikwa kwa heshima zote za Jeshi hilo mkoani Arusha.
Swali langu ni hili, ilikuwaje Askari huyu kuwa Mwandishi wa chombo cha CCM, haya mambo yanaruhusiwa kikatiba?
View attachment 2079854Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...www.jamiiforums.com
Hapa kuna mambo mawili umepotosha.polisi kuna wana habari wa aina mbili
1.wanaoandika na ku record habari za polisi tu,hizi hutumiwa na polisi wentewe mfano,matukio ya mauaji hu recordiwa video jinsi maiti zilivo kutwa na pia kuna matukio mfano ya sherehe na hafla za polisi hurecordiwa na hawa
2.ma informer ambao huleta taarifa za kiintelijensia kwa ukaribu wao walionao na wana habari,umewahi kujiuliza kiongozi wa chadema akikamatwa kwa uchochezi ni nani kapeleka ushahidi polisi ? ni hawa polisi wana habari
NB
usalama wa Taifa (TISS) ni wachache mno mtaani,wengi mnaowaonaga mnadhani ni usalama basi huwa ni polisi,unamkuta mtu bishoo flani unadhani ni bitozi tu anazurula kumbe anatafuta intelijensia
Ni muandishi wa Uhuru.There are many possibilities here, lakini sioni kama conclusion yako kwamba yule police officer alikuwa mwandishi wa habari wa Uhuru ina logical basis. Sio lazima kila aliyefariki kwenye hiyo ajali ni mwandishi wa habari wa Uhuru.
Inawezekana huyo police officer alikuwa Mwanza kwa mambo mengine (binafsi au ya kikazi), lakini akapewa tu ride, pengine kutokana na kufahamiana kwake na ama driver au mtu mwingine aliyekuwa kwenye huo msafara wa watumishi wa Uhuru!
Johari ni mwandishi wa Uhuru media siku nyingi hapo mwanza ndugu, just ask to be certain. We know her.There are many possibilities here, lakini sioni kama conclusion yako kwamba yule police officer alikuwa mwandishi wa habari wa Uhuru ina logical basis. Sio lazima kila aliyefariki kwenye hiyo ajali ni mwandishi wa habari wa Uhuru.
Inawezekana huyo police officer alikuwa Mwanza kwa mambo mengine (binafsi au ya kikazi), lakini akapewa tu ride, pengine kutokana na kufahamiana kwake na ama driver au mtu mwingine aliyekuwa kwenye huo msafara wa watumishi wa Uhuru!
mkuu,nimepotosha wakati nafanya kazi huko !!!, niliyoandika nimeyaonaHapa kuna mambo mawili umepotosha.
Kwanza kesi nyingi za uchochezi hazinaga ushahidi wa maana ndiyo naana nyingi hushindwa mahakamani na badala yake watu hushikiliwa tu.
Pili usalama wa taifa sio wachache kama unavyodhani. Ni wengi isipokuwa wao nature ya kazi yao ndiyo inafanya waonekane ni wachache. Kuna DSO huwa namtembelea ofisini kwake pale kuna sura mpya kibao na anasema hao ni vijana wake walioajiriwa na wasioajiriwa