Ilikuwa ni njama au?

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,466
Nakumbuka Mwaka jana, ukienda posta (Kigoma) kupokea/kuchukua pesa zilizotumwa kwa njia ya Western Union kama watumia kiparata kama kitambulisho chako; ilikuwa lazima (walilazimisha) utoe nakala (photocopy) ibaki pale!

Hii ilinikuta, nikawaambia mbona nikija na passport hamuombi nakala; wakajiumauma na mwisho wakanipa pesa zangu bila kuacha nakala ya kiparata cha mpiga kura!

Swali langu; ni kwanini walihitaji nakala za viparata? Waliagizwa? Na kama ndio vilikuwa na kazi gani? Nini kinaweza fanyika kwa kutumia nakala za viparata?

Sijui kama zoezi hilo lilikuwa ni la muda au linaendelea?
 
Jamani ndugu yetu ametumia msamiati wa kwao kule Kigoma ambako kitambulisho cha kupigia kura kinaitwa 'kiparata'.
 
Kwanini umechelewa kulisema hili, ulitakiwa kutoa taarifa mapema kabla ya uchaguzi wa Mwaka jana ili hatua stahiki zijukuliwe. Any way yawezekana ilikuwa ni njama ya kuchakachua matokeo.
 
"Kiparata", "viparata" ndo lugha gan hiyo?

Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kuleta maana na mawasiliano. Mimi mwenyewe neno "kipatarata" ndiyo nalisikia leo lakini kwa jinsi alivyoeleza nimemuelewa 100% akimaanisha nini. Kuna misemo na misimu, huenda Kigoma wanaviita hivyo na kueleweka. Sasa unapouliza ndiyo nini wakati sentensi imeweka wazi kuwa vitambulisho vya kujiandikisha kupiga kura, unakuwa umepoteza maana.
 
Zoezi linaendelea na sababu hasa za kuhitajika kwa viparata hivyo hazina tatizo lolote lile
labda kama kuna watu waliona opportunity ya kitu chochote katika practice hiyo.

Hapa nilipo kuna huduma za western union, ukija na kiparata chako tunakitoa copy,
na tunakihandle kama internal document ambayo hatumpi mtu wala taasisi yoyote,
hatujahi kuombwa wala kusikia kwamba copy zinaweza ama zinatumika kwenye
deal lolote lile labda kama sisi hatukuingizwa kwenye mchakato.

Na kama hapo kigoma hawachukui hizo copy za viparata basi hilo ni tatizo la kiutendaji tu.
 
<b>Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kuleta maana na mawasiliano</b>. Mimi mwenyewe neno &quot;kipatarata&quot; ndiyo nalisikia leo lakini kwa jinsi alivyoeleza nimemuelewa 100% akimaanisha nini. Kuna misemo na misimu, huenda Kigoma wanaviita hivyo na kueleweka. Sasa unapouliza ndiyo nini wakati sentensi imeweka wazi kuwa vitambulisho vya kujiandikisha kupiga kura, unakuwa umepoteza maana.
<br />
<br />
Hii ndiyo JF Mkuu!
 
Nilihoji kuhusu "kiparata" na "viparata", je, maana ya "kipatarata" neno uliloandika kwenye post yako ndo hiyo pia inahusu hayo maneno ya jamaa wa kigoma?
 
Kiparata....... Asili ya neno hili inaonekana baba alikuwa amebanwa na tumbo la kuhara, na baba huyu alimwambia mtoto wake kuwa sisi wakubwa hatuarishagi.
Basi siku ya siku mtoto akasikia prata tata kiparata kutoka chooni, mtoto akamuuliza baba yake, baba unafanya nini huko, mbona nasikia kitu kinalia kiparata? Baba akajibu mwanangu nimepoteza kiparata changu ndio nakiita nione kama kitaitika, mtoto akauliza kiparata ndio nini? Dingi akajibu kadi ya mpiga kura
 
Kumbe ndio neno hilo lilikotokea!!!
 
Aisee JF balaa!nimecheka sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom