Ilikuwa ni makosa makubwa kuiruhusu CHADEMA ikue kwa asilimia walau 20% ,tunakuomba Katibu Mkuu Dr. Bashiru haya makosa yasijirudie tena

Kwa Africa Nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kwa kuwachekea Wapinzani

Tanzania tuna chama kimoja tu tulichoachiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ni chama kinacholeta amani na mshikamano

Hivi vyama vingine vimeelemea kwenye mrengo wa udini na ukanda

Tukiruhusu vikue vitaleta machafuko kwenye Nchi yetu

Kuna vyama toka mifumo ya vyama vingi vianze vinafadhiliwa na waarabu na Mabeberu

Ccm tusifanye utani tukakichezea tutaiharibu Nchi yetu

Chini ya Katibu Mkuu mzee Yusuph Makamba,Wilson mukama na comrade kinana chama kimefanya vibaya sana haijawahi kutokea katika historia ya CCM

Tuliwaruhusu Wapinzani wafurukute, tukawaruhusu washinde majimbo yanayofikia 20% hii ni mbaya sana tunakuomba ukaruhusu ili likajirudia

Ili Nchi iwe salama Wapinzani bungeni hawatakiwi kuzidi wabunge saba na madiwani na Hakuna halmashauri inayoongozwa na upinzani hata mmoja

Kutokana na kuwapuuzia wapinzani tumejikuta tunatumia Nguvu kiasi kuwarudisha kwenye utamaduni wao

Ili Nchi iwe salama salama hivi vyama vya upinzani inatakiwa nguvu yao i range kwenye 1% hadi 5% na sio zaidi ya hapo

Mh polepole msifanye utani tena Tunataka kuelekea 2020 Tunataka chama tawala, urithi wetu wa Tanzania kishinde kwa 98%

Hii Nchi tukiendelea kuwachekea Wapinzani tutaingia kwenye changamoto za usalama km ilivyo kwa Nchi nyingi za kiafrica ambazo ziliwaendekeza Wapinzani

Pia Huu utaratibu wa kuruhusu wanasiasa wa upinzani kwenda kutembelea balozi zinaharibu utamaduni wa Nchi Yetu

Wanaccm wapo wengi sana kwa takwimu za haraka haraka vijana Wengi hawana imani na vyama vingi vya upinzani na ukizingatia kwa sasa Rais wetu mpendwa Magufuli anatuletea kila aina ya Maendeleo tuliyoyahitahji

Ni jukumu lako mh polepole na Katibu Mkuu kugawa kadi kwa vijana wapo wengi sana

kutokana na formality yao kama nilivyoeleza hapo juu Vyama vya upinzani vingi vimeundwa katika muundo wa ukanda na kidini kwa hiyo haviwezi kudumu vitajifia tu

Niwatakie heri kuelekea juma la Mwisho la Kwaresma
Leo umevuta bangi za wapi?
 
Dawa yako ni Vita tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu wacha nikuambie kitu kimoja kuhusu vyama vyenu vya upinzani ambavyo vingi vimejengwa kwa ukanda na udini

Ungebahatika kujua yaliyopo nyuma ya pazia Ndani ya hivyo vyama ungevichukia mara moja

Hivyo sio vyama vya siasa vina ajenda mbaya sana inatakiwa visiwe hai hata kimoja angalau Nccr mageuzi na Tlp ni Wapinzani Wazalendo

Ni kweli cuf ilikua na mpango wa kuleta machafuko Nchini, tushukuru intelejensia ya vyombo vya usalama kuwanasa mapema la sivyo tungeingia katika machafuko

Nyie vijana mnashida mtaani kutukana Viongozi hamjui kuna watu hawalali kwa ajili yenu?

Kuna watu walimwaga damu kwa ajili ya hii Nchi Hakuna namna tukaruhusu kikundi cha watu wachache wasiokuwa na mwelekeo waiharibu Nchi
leo tlp na NCCR vimekuwa vyama bora vya upinzani?
TLP Kwakuwa mrema ameshampitisha mgombea wa chama. ni mrema huyu huyu alifunguliwa case 9 kwa wakati mmoja pale kisutu akiwa na chama kinaitwa NCCR/ nyumba ndogo ya ccm leo?
wewe hunakumbukumbu. utakuwa ulikuwa kijijini wakati huo
 
Kwa Africa Nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kwa kuwachekea Wapinzani

Tanzania tuna chama kimoja tu tulichoachiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ni chama kinacholeta amani na mshikamano

Hivi vyama vingine vimeelemea kwenye mrengo wa udini na ukanda

Tukiruhusu vikue vitaleta machafuko kwenye Nchi yetu

Kuna vyama toka mifumo ya vyama vingi vianze vinafadhiliwa na waarabu na Mabeberu

Ccm tusifanye utani tukakichezea tutaiharibu Nchi yetu

Chini ya Katibu Mkuu mzee Yusuph Makamba,Wilson mukama na comrade kinana chama kimefanya vibaya sana haijawahi kutokea katika historia ya CCM

Tuliwaruhusu Wapinzani wafurukute, tukawaruhusu washinde majimbo yanayofikia 20% hii ni mbaya sana tunakuomba ukaruhusu ili likajirudia

Ili Nchi iwe salama Wapinzani bungeni hawatakiwi kuzidi wabunge saba na madiwani na Hakuna halmashauri inayoongozwa na upinzani hata mmoja

Kutokana na kuwapuuzia wapinzani tumejikuta tunatumia Nguvu kiasi kuwarudisha kwenye utamaduni wao

Ili Nchi iwe salama salama hivi vyama vya upinzani inatakiwa nguvu yao i range kwenye 1% hadi 5% na sio zaidi ya hapo

Mh polepole msifanye utani tena Tunataka kuelekea 2020 Tunataka chama tawala, urithi wetu wa Tanzania kishinde kwa 98%

Hii Nchi tukiendelea kuwachekea Wapinzani tutaingia kwenye changamoto za usalama km ilivyo kwa Nchi nyingi za kiafrica ambazo ziliwaendekeza Wapinzani

Pia Huu utaratibu wa kuruhusu wanasiasa wa upinzani kwenda kutembelea balozi zinaharibu utamaduni wa Nchi Yetu

Wanaccm wapo wengi sana kwa takwimu za haraka haraka vijana Wengi hawana imani na vyama vingi vya upinzani na ukizingatia kwa sasa Rais wetu mpendwa Magufuli anatuletea kila aina ya Maendeleo tuliyoyahitahji

Ni jukumu lako mh polepole na Katibu Mkuu kugawa kadi kwa vijana wapo wengi sana

kutokana na formality yao kama nilivyoeleza hapo juu Vyama vya upinzani vingi vimeundwa katika muundo wa ukanda na kidini kwa hiyo haviwezi kudumu vitajifia tu

Niwatakie heri kuelekea juma la Mwisho la Kwaresma
Nikajua uzi wote umeandika ishu ya msingi kumbe utopolo!!!!
Mtaendelea kushikwa maskio
 
Hivi Chama si watu ? Mbona Chadema tayari kimeshakuwa na wanachama milioni 10 sasa ni kukuwa gani unako kuongelea. Wabunge sio kukuwa kwa Chama. Ubunge unahitaji uhuru wa kura lakini wanachama kila mtu anajua wanakuwa.
 
Chadema haina hata wanachama milion moja usimuamini Mbowe atakupoteza
Hivi Chama si watu ? Mbona Chadema tayari kimeshakuwa na wanachama milioni 10 sasa ni kukuwa gani unako kuongelea. Wabunge sio kukuwa kwa Chama. Ubunge unahitaji uhuru wa kura lakini wanachama kila mtu anajua wanakuwa.
 
Usipanic Mkuu mambo bad
leo tlp na NCCR vimekuwa vyama bora vya upinzani?
TLP Kwakuwa mrema ameshampitisha mgombea wa chama. ni mrema huyu huyu alifunguliwa case 9 kwa wakati mmoja pale kisutu akiwa na chama kinaitwa NCCR/ nyumba ndogo ya ccm leo?
wewe hunakumbukumbu. utakuwa ulikuwa kijijini wakati huo
 
Kwa Africa Nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kwa kuwachekea Wapinzani

Tanzania tuna chama kimoja tu tulichoachiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ni chama kinacholeta amani na mshikamano

Hivi vyama vingine vimeelemea kwenye mrengo wa udini na ukanda

Tukiruhusu vikue vitaleta machafuko kwenye Nchi yetu

Kuna vyama toka mifumo ya vyama vingi vianze vinafadhiliwa na waarabu na Mabeberu

Ccm tusifanye utani tukakichezea tutaiharibu Nchi yetu

Chini ya Katibu Mkuu mzee Yusuph Makamba,Wilson mukama na comrade kinana chama kimefanya vibaya sana haijawahi kutokea katika historia ya CCM

Tuliwaruhusu Wapinzani wafurukute, tukawaruhusu washinde majimbo yanayofikia 20% hii ni mbaya sana tunakuomba ukaruhusu ili likajirudia

Ili Nchi iwe salama Wapinzani bungeni hawatakiwi kuzidi wabunge saba na madiwani na Hakuna halmashauri inayoongozwa na upinzani hata mmoja

Kutokana na kuwapuuzia wapinzani tumejikuta tunatumia Nguvu kiasi kuwarudisha kwenye utamaduni wao

Ili Nchi iwe salama salama hivi vyama vya upinzani inatakiwa nguvu yao i range kwenye 1% hadi 5% na sio zaidi ya hapo

Mh polepole msifanye utani tena Tunataka kuelekea 2020 Tunataka chama tawala, urithi wetu wa Tanzania kishinde kwa 98%

Hii Nchi tukiendelea kuwachekea Wapinzani tutaingia kwenye changamoto za usalama km ilivyo kwa Nchi nyingi za kiafrica ambazo ziliwaendekeza Wapinzani

Pia Huu utaratibu wa kuruhusu wanasiasa wa upinzani kwenda kutembelea balozi zinaharibu utamaduni wa Nchi Yetu

Wanaccm wapo wengi sana kwa takwimu za haraka haraka vijana Wengi hawana imani na vyama vingi vya upinzani na ukizingatia kwa sasa Rais wetu mpendwa Magufuli anatuletea kila aina ya Maendeleo tuliyoyahitahji

Ni jukumu lako mh polepole na Katibu Mkuu kugawa kadi kwa vijana wapo wengi sana

kutokana na formality yao kama nilivyoeleza hapo juu Vyama vya upinzani vingi vimeundwa katika muundo wa ukanda na kidini kwa hiyo haviwezi kudumu vitajifia tu

Niwatakie heri kuelekea juma la Mwisho la Kwaresma
wenye akili wataruhusu Chadema (inayoonekana) ikue kuliko ikafa halafu ikazaliwa Alshabab (isiyoonekana).

walioanzisha dhana ya demokrasia hawakuwa na kamasi kichwani, ni ubongo ulitumika.

wenye kutumia makamasi endeleeni tu mtafika salama!
 
Mkuu Chadema kufa haimanishi upinzani utakufa tumeona Nccr mageuzi wapo vizuri kuwa chama kikuu cha upinzani

endeleeni tu kujiandikieni obituaries zenu wenyewe.
Mbowe alishawaonya "kikinuka, msinitafute".
Mbowe si chizi.
 
Back
Top Bottom