Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,987
Kwa Africa Nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kwa kuwachekea Wapinzani
Tanzania tuna chama kimoja tu tulichoachiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ni chama kinacholeta amani na mshikamano
Hivi vyama vingine vimeelemea kwenye mrengo wa udini na ukanda
Tukiruhusu vikue vitaleta machafuko kwenye Nchi yetu
Kuna vyama toka mifumo ya vyama vingi vianze vinafadhiliwa na waarabu na Mabeberu
Ccm tusifanye utani tukakichezea tutaiharibu Nchi yetu
Chini ya Katibu Mkuu mzee Yusuph Makamba,Wilson mukama na comrade kinana chama kimefanya vibaya sana haijawahi kutokea katika historia ya CCM
Tuliwaruhusu Wapinzani wafurukute, tukawaruhusu washinde majimbo yanayofikia 20% hii ni mbaya sana tunakuomba ukaruhusu ili likajirudia
Ili Nchi iwe salama Wapinzani bungeni hawatakiwi kuzidi wabunge saba na madiwani na Hakuna halmashauri inayoongozwa na upinzani hata mmoja
Kutokana na kuwapuuzia wapinzani tumejikuta tunatumia Nguvu kiasi kuwarudisha kwenye utamaduni wao
Ili Nchi iwe salama salama hivi vyama vya upinzani inatakiwa nguvu yao i range kwenye 1% hadi 5% na sio zaidi ya hapo
Mh polepole msifanye utani tena Tunataka kuelekea 2020 Tunataka chama tawala, urithi wetu wa Tanzania kishinde kwa 98%
Hii Nchi tukiendelea kuwachekea Wapinzani tutaingia kwenye changamoto za usalama km ilivyo kwa Nchi nyingi za kiafrica ambazo ziliwaendekeza Wapinzani
Pia Huu utaratibu wa kuruhusu wanasiasa wa upinzani kwenda kutembelea balozi zinaharibu utamaduni wa Nchi Yetu
Wanaccm wapo wengi sana kwa takwimu za haraka haraka vijana Wengi hawana imani na vyama vingi vya upinzani na ukizingatia kwa sasa Rais wetu mpendwa Magufuli anatuletea kila aina ya Maendeleo tuliyoyahitahji
Ni jukumu lako mh polepole na Katibu Mkuu kugawa kadi kwa vijana wapo wengi sana
kutokana na formality yao kama nilivyoeleza hapo juu Vyama vya upinzani vingi vimeundwa katika muundo wa ukanda na kidini kwa hiyo haviwezi kudumu vitajifia tu
Niwatakie heri kuelekea juma la Mwisho la Kwaresma