Ilikuwa kazi ya kutoa jasho.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Namwinamisha hataki,namgeuza hivi anabisha,nikimleta hivi ndo balaa,nikamlazimisha ainamishe kichwa anapiga kilele,nikamwambia anigeukie akakubali ile tu naweka analia......duh kweli kumnyoa nywele mtoto mchanga ni kazi.
 
Si unajua bafu zetu za uswahilini, jamaa alikuwa anaoga bafuni, siakaanza kupiga masta bwana!,,,, utamu ukakolea, sasa sabuni ikaingia machoni siikabidi aokoe jicho huku akiendelea na kazi, akakosa balance na kuanza kutafuta ukuta ashike!!! kumbe khanga aliyoiweka kwenye mlango wa choo ilishapeperushwa na upepo bila yeye kujua,alipomaliza nyeto ile anashusha pumnzi anajikuta yuko nje ya bafu na wamama wanaosuka wamefumba macho kwa aibu.
 
Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''
 
Bangi bhnana,Kuna mshikaji alikaa kwenye jiwe kakunja 4 huku akipga mapfu ya kufa mtu ile kamaliza...,anataka kuinuka akajikuta anamguu mmoja,si akaanza kulia "mguu wangu mguu wangu" akaulizwa umefanya nn...? Jamana siuoni uko wapi, washikaji wenzake walimfuata na kumtoa 4 aliyoikunja.""
Hahaaaah.! kumbe jamaa aliinuka na mguu 1 huku mwingine kaendelea kuukunja,
 
Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''
Hahahaha...
 
Daa, wapiga chabo nao wana vijimambo, lol!
 
Haa!haahaaaaa! Hiyo ya mvuta bhange mie hoi. Kuna mwingine tena baada ya kuuwasha msuba yakaanza kumuijia mahisia ya ulaya.ooh! Washkaji hapa bongo life ipo tight inabidi nifanye ma ufundi mzee mzima nitimbe ma mtoni nikajaribu gemu huko. Baada ya story nakumaliza kuvuta gwee akainuka ili aende zake kucheki mbele akaona bonge la gogo jamaa ikabidi aliluke kwa mwendo wa kupaaa,kumbe ganja imeshampanda kichwani kasahau kwamba hilo sio gogo ila ni ile njiti ya kiberiti aliyoitupa baada ya kuwashia ganja.bangi bana.
 
hahahahhahahahahahahhaha kaka hiyo kali,kuna mshikaji mmoja tulisoma naye form siku,si unajua mashindano ya madarasa kucheza mpira,mi nilikuwa golikipa ye beki,alipopata mpira akanipigia mpira mi mwenye kwa shuti nikashindwa kudaka goli nikaingia,yaan,nikaanza kumwuliza,mambo gani unafanya,eti akanijibu ''huku tumeingia kwa nia ya kutafuta goli,kwani hujaona mashabiki wananishangilia huko nje?mi hoi
 
uuuwi!! Umenikumbusha na ule wimbo wa ras lion na john woker unao imba BANGI BWANA!mshkaji kazamia meli baada ya siku nne akaibuka ndani ya meli kumbe bado wapo dar.
 
si unajua bafu zetu za uswahilini, jamaa alikuwa anaoga bafuni, siakaanza kupiga masta bwana!,,,, utamu ukakolea, sasa sabuni ikaingia machoni siikabidi aokoe jicho huku akiendelea na kazi, akakosa balance na kuanza kutafuta ukuta ashike!!! Kumbe khanga aliyoiweka kwenye mlango wa choo ilishapeperushwa na upepo bila yeye kujua,alipomaliza nyeto ile anashusha pumnzi anajikuta yuko nje ya bafu na wamama wanaosuka wamefumba macho kwa aibu.
duuh aibu gani hii!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom