Hahahaha...Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''
Wanandoa walikuwa wanafanya tendo la ndoa ndani ya nyumba,mara mbwa akabweka,ile wanafungua mlango mpiga chabo alijisahau na kuwambia ''nye endeleni tu,ni mbwa anambwekea paka,ikitokea kitu nitawajulisha''
Haa!haahaaaaa! Hiyo ya mvuta bhange mie hoi. Kuna mwingine tena baada ya kuuwasha msuba yakaanza kumuijia mahisia ya ulaya.ooh! Washkaji hapa bongo life ipo tight inabidi nifanye ma ufundi mzee mzima nitimbe ma mtoni nikajaribu gemu huko. Baada ya story nakumaliza kuvuta gwee akainuka ili aende zake kucheki mbele akaona bonge la gogo jamaa ikabidi aliluke kwa mwendo wa kupaaa,kumbe ganja imeshampanda kichwani kasahau kwamba hilo sio gogo ila ni ile njiti ya kiberiti aliyoitupa baada ya kuwashia ganja.bangi bana.
hahahahhahahahahahahhaha kaka hiyo kali,kuna mshikaji mmoja tulisoma naye form siku,si unajua mashindano ya madarasa kucheza mpira,mi nilikuwa golikipa ye beki,alipopata mpira akanipigia mpira mi mwenye kwa shuti nikashindwa kudaka goli nikaingia,yaan,nikaanza kumwuliza,mambo gani unafanya,eti akanijibu ''huku tumeingia kwa nia ya kutafuta goli,kwani hujaona mashabiki wananishangilia huko nje?mi hoi
duuh aibu gani hii!si unajua bafu zetu za uswahilini, jamaa alikuwa anaoga bafuni, siakaanza kupiga masta bwana!,,,, utamu ukakolea, sasa sabuni ikaingia machoni siikabidi aokoe jicho huku akiendelea na kazi, akakosa balance na kuanza kutafuta ukuta ashike!!! Kumbe khanga aliyoiweka kwenye mlango wa choo ilishapeperushwa na upepo bila yeye kujua,alipomaliza nyeto ile anashusha pumnzi anajikuta yuko nje ya bafu na wamama wanaosuka wamefumba macho kwa aibu.