Ilianza Zimbabwe sasa Tanzania inafuatia

Hawa waamerika ktk maslahi yao hawana urafiki wala ubinadamu na wana mbinu nyingi za kulipiza kisasi na si ajabu wakaanzisha hata vikundi vya kigaidi ili kuiyumbisha serikali,,,,,,,,Ya Allah tuepushie hiyo zahma kwa kifupi magufuli yuko sawa na anachopigania ni haki ....Conclusively,Allah ndo mpangaji wa yote naamini Tanzania tutawashinda wamarekani ktk hili
Mmemshindwa wema yupo hapahapa lisu roma mtwaweza wamarekani
 
Hivi ni nini kinachotushinda?
Wawekezaji wanathamani zaidi ya wazawa.

Kwa tanzania ni heri mwananchi anyang'anywe mali yake e.g ardhi ili mwekezaji apewe huku hamna faida ya maana ambayo nchi inapata.
Kuna wananchi wamenyanyaswa ktk nchi yao hii kisa kinajulikana lakini wameuawa nashangaa mbunge ameongea na hakuna aliemsikiliza.
 
Argument ya kitoto hii . .
WEWE NDIO MWENYE ARGUMENT YA KITOTO KWA KUWA ANAWAONA WATANZANIA MILIONI 50 Hawana Akili - Wewe Uliye Jaaliwa Akili Zimeisaidia Nini Nchi Yako Katika Nyanja za Utafiti wa Kisayansi na Kimaendeleo????? Arrogance ni Kitu Kibaya Sana Katika Maisha
 
WEWE NDIO MWENYE ARGUMENT YA KITOTO KWA KUWA ANAWAONA WATANZANIA MILIONI 50 Hawana Akili - Wewe Uliye Jaaliwa Akili Zimeisaidia Nini Nchi Yako Katika Nyanja za Utafiti wa Kisayansi na Kimaendeleo????? Arrogance ni Kitu Kibaya Sana Katika Maisha
Tazama unavyodhihirisha UTOTO wako hapa . . ,
" watanzania milioni 50 unaowataja, wanahusikaje na haya maswali yako ya kitoto hapa JF . . ?! " . .

Hivi ikiwa nimefanya jambo lolote jema kwa nchi yangu, natakiwa kuripoti kwako hapa wee mtoto . . ?!

Acha utotoo . . !
 
Huu uzi si mgumu kuuelewa maana aliyeuleta hajui kabisa historia ya matatizo ya Zimbabwe kama wewe unayemsupport.

Hivyo ni bora kuwaachi ninyi wawili msijua nini mnachikisema mjipatie sifa kivyenu..


Mkuu mbona hukuandika chochote ambacho unakijua wewe tofauti na nilichokieleza kuhusu huu uzi??
 
WAJINGA SIKU ZOTE WANAJIWEKA NYUMA.. NDIO MAANA AFRICA TUPO CHINI ...KWANI WAZUNGU NDIO NINI AU WAMAREKANI NDIO NINI... MBWA TU ...TUKIJIAMINI KULA KITU KITAKUWA SAWA

Mkuu mbona unatoka nje ya mazda na jazba na kufoka kiasi hicho.
 
Binafsi kwa hili la kuchunguza mikataba mibovu na kuirekebisha hata ikibidi kutumia nguvu naiunga mkono serikali.
Huu ni utekelezaji wa vilio vya wananchi miaka nenda miaka rudi kwamba mali zetu zinaibwa mchana kweupe, cha ajabu mnakuja wengine kuiponda serikali aiseee mmmmh!
Isiishie kuchunguzwa na kurekebishwa tu,hata watanzania waliotufikisha hapa wawajibishwe ili kuwe na muendelezo wa kuheshimu vilivyo vya watanzania. Wanajulikana waliotufikisha hapa kama tuna nia ya dhati kushughulika na hili
 
Upuuzi tu kwahiyo ukiandika maneno mawili matatu ya kingereza ndo tukusapoti kwamba umeandika point au hv case ya zimbabwe unaweza fananisha na yetu?wap kafukuzwa mtu?mnakua km mazezeta mkipata elimu
 
ILI NI PEPO ZAIDI YA IBLISI. JAMANI KAMA KUNA WACHUNGAJI NA MASHEIKH HUMU NAOMBENI MLIOMBEE LITOKE. huwezi kutetea wizi , wewe sio mtu wa kawaida
 
Uzi unasema nanukuu ''Ilianza Zimbabwe sasa inafata Tanzania''.

Mtoa huu uzi naona kawalenga wenzake ambae nae ni miongoni mwao,sifa zote za umbumbumbu na bendera fata upepo ni zake na wenzake na kinachomuuma hapa ni kuona baadhi ya nyumbu kwa sababu ni jadi yao kufata upepo wamegeuka na kuunga mkono upande mwingine kitu ambacho kinawauzi.

Ungekuwa na busara hicho kichwa cha uzi usingeandika hivyo,kwa kuandika hivyo umeonyesha dhahiri kabisa huna nia njema na nchi hii,kumbuka ikiwa kama Zimbabwe na wewe utakuwemo ndani.

Hicho unachokiombea hakitokaa kitokee USHINDWE NA ULEGEE.

Tanzania ni yetu sote,tuweke utaifa mbele na vingine vifate.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Akili za Watanzania waliowengi ni kama bendera huwa wanafata upepo tu, hakuna tofauti ya wasomi wala wauza karanga mitaani. Kwa hurka hii mbaya sioni kama kuna siku tutanasuka kwenye hili tope zito la umbumbu. Nchi ikishakosa utofauti wa uelewa ni ishara tosha kuwa kuna shida.

Sijaelewa bado kama tatizo ni siasa au elimu, ujinga au uvivu, serikali au mazingira. Kwanini idadi ya watu kuwa wapumbavu inaongezeka siku hadi siku?

Ila hala hala kiangazi kinakuja na tope linaanza kukauka hivyo nasema tukiendelea hivi hatapona mtu.Wenye macho na waone na wenye masikio wasikie kama taifa tuko kwenye hali mbaya

Some problems are so complex that you have to be highly intelligent and well-informed just to be undecided about them.
Yaani chama kilichokufa chadem mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hili suala hamtashinda, kama ilivyokuwa kipjndi cha uchaguzi, you'll never win.
 
" Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!

Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!

;Chadema ya leo wanapinga ;Elimu bure

;Ujenzi flyover

;Ununuzi wa ndege

;Ujenzi wa reli
Bei ya zao lá korosho kupanda

;Serikali kuhamia Dodoma

;Wakwepa kodi kufukuzw

;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa. Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.

Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??
Wameishiwa pumzi wamehamia KUPINGA NA UCHOCHEZI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom