Ilianza TD na sasa Mwananchi

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Majuzi watu walipata shida sana kulisoma gazeti la TD on time.Wakaanza majungu hapa mara wamenunuliwa , oh mara waoga , oh mara hawana pesa.Wengi tukasema ulikuwa ni upuuzi maana hatuwasaidii TD hata senti tano kuwasaidia kufanya biashara yao ya gazeti hata kama ukiwa msomaji mpenzi.Ukiwakosa hewani on time si lazima uanze matusi, leo ni karibia wiki sasa Mwananchi wana matatizo .Je wale wazushi wa maneno mko wapi mtupe habari za kizushi ama mko kimya kwa kuwa halina connection na Chadema ?
 
Am sure kuna kitu kinaendelea na aka kamtindo ka kusubotage haya magazeti yetu kuwa online.
Wanatuangamiza wengine uku tuliko gazeti kufika ni mpaka siku ya pili jamani.
Au hawataki tusome izo habari za mafisadi?

Aluta continua.........leo nimejaribu kuifungua nimeambia its is under construction.
Hoping for the best
 
Hili jambo zito ambalo hatuwezin kulijua lakini wenye gazeti wanajua .Nimesema haya baada ya siku chache kupita watu kuanza kulishambulia TD kwa maneno kibao bila ya kujua .Sasa kua shida na Mwananchi lakini sijaona wakisema lolote .
 
Gazeti la Mwananchi nao wamekuwa wakiandika habari za kutetea wananchi.
Juzi tu waliambiwa na katibu mgosi kuwa huwa hawaandiki vizuri wala kutangaza habari zao vema.
Ni dhahiri kuwa lazima zinatafutwa ndege za B 55 kuwashambulia kwa kila njia
 
Majuzi watu walipata shida sana kulisoma gazeti la TD on time.Wakaanza majungu hapa mara wamenunuliwa , oh mara waoga , oh mara hawana pesa.Wengi tukasema ulikuwa ni upuuzi maana hatuwasaidii TD hata senti tano kuwasaidia kufanya biashara yao ya gazeti hata kama ukiwa msomaji mpenzi.Ukiwakosa hewani on time si lazima uanze matusi, leo ni karibia wiki sasa Mwananchi wana matatizo .Je wale wazushi wa maneno mko wapi mtupe habari za kizushi ama mko kimya kwa kuwa halina connection na Chadema ?

Mkuu Lunyungu,

Unaweza kupenda kutembelea hapa uone yaliyojiri

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13228
 
Majuzi watu walipata shida sana kulisoma gazeti la TD on time.Wakaanza majungu hapa mara wamenunuliwa , oh mara waoga , oh mara hawana pesa.Wengi tukasema ulikuwa ni upuuzi maana hatuwasaidii TD hata senti tano kuwasaidia kufanya biashara yao ya gazeti hata kama ukiwa msomaji mpenzi.Ukiwakosa hewani on time si lazima uanze matusi, leo ni karibia wiki sasa Mwananchi wana matatizo .Je wale wazushi wa maneno mko wapi mtupe habari za kizushi ama mko kimya kwa kuwa halina connection na Chadema ?

Mwananchi walivamiwa na virus. Nimeenda mara tatu nikarudi na virus. Bahati nzuri siwaogopi hao virus na nina nyenzo za kutosha kupambana nao.

Nafikiri sasa wameondoa kabisa ili wapambane na hao virus.

Na nyie watu wa mavyama mna kazi, hata jambo kama hili mpaka muunganishe na vyama?
 
Mkuu Mtanzania niombe msamaha kwiwikwiw .Mimi baada ya kuona kuna shida na mwananchi ndiyo nikakumbua kuwatetea TD hapa kwamba watakuwa na shida za utendaji tu .Ndiyo nikaamua kusema kwamba si kila jambo wakimbilie siasa .Ndiyo lilikuwa lengo langu maana TD walisakamwa na walio jiita wasomaji wazuri .
 
Waheshimiwa nawashukuru kwa kuchangia hoja inayohusu uhuru wa habari.

Naona wazi kuwa kuna watu wanaofikiri CCM na Mafisadi wao wamelala. Kwa hakika hawa watu wako busy na wanatafuta kwa bidii kunyamazisha kila sauti inayowaamsha watanzania.

Lakini kwa kuwa nimepata taarifa nyingi kuwa Katibu Mgosi anapewaga habari zote zinazopita hapa JF nami kupitia hapa hapa ninampa ujumbe mfupi wa kudumu (UMK).

Mkubwa waweza kuendelea na kazi yako ya kuwashambulia watanzania wazalendo kwa kila lugha za kejeli na ubabe. waweza pia kuendelea kutumia fedha zao wanazokamuliwa, kudhalilisha haki zao na utu wao. Haya yote waweza kufanya kwa muda mfupi sana. Lakini kama jinsi ambavyo haiwezekani kuzuia jua kuchwa, saa inakuja na kila mtu atajua yaliyofanywa na wakubwa hawa. hapa ndipio mgosi atapewa heshima inayomstahili na Zitto, Slaa, Ndesamburo + Hamad Rashid watapokea yao.

Kwa UMK hiyo nakushauri kaka mgosi uanze kufikiria mbali na kutamane heshima ya wajukuu na vitukuu vyako.

Naapa!!!! Haki ya Mungu lazima kitakuja kizazi kitakachotaka kujua viongozi wa CCM wa sasa walikuwaje hadi kuwalinda na kuwatandikia mazulia mekundu mafisadi.

Kwaheri
 
Maneno mazito haya .Kweli umeumizwa na mbinu chafu za mgosi .Wajue tu kwamba iko siku Mahakama zetu namagereza haya haya watasimama humo kutujibu sisi washindwa hoi .
 
Hiyo website ya Mwananchi imeshambuliwa maana nimejaribu kuingia mara mbili nikapambana na Trojan horses.Bahati nzuri walikuta system yangu imekamilika hawakuweza kupata access.
Muwe makini hasa ambao kompyuta zao zina weak security nawashauri kwa sasa msitembelee kabisa hiyo site hadi waisafishe.
Vinginevyo tutawapoteza hapa JF kwa kukosa nyenzo.
 
Last edited:
Pamoja na kupambana na Trojan horses kule mwananchi pia napenda kuwapa taarifa ma-mods wa JF ile website dada wa JF kule Jambonetwork pia kila nkiingia virusi wanakuja kasi kwenye kompyuta yangu hadi sasa hivi nimeacha kwenda huko kusikiliza zilipendwa naomba jamani watawala mshughulikie hiyo kero pia.
 
Back
Top Bottom