Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,890
Majuzi watu walipata shida sana kulisoma gazeti la TD on time.Wakaanza majungu hapa mara wamenunuliwa , oh mara waoga , oh mara hawana pesa.Wengi tukasema ulikuwa ni upuuzi maana hatuwasaidii TD hata senti tano kuwasaidia kufanya biashara yao ya gazeti hata kama ukiwa msomaji mpenzi.Ukiwakosa hewani on time si lazima uanze matusi, leo ni karibia wiki sasa Mwananchi wana matatizo .Je wale wazushi wa maneno mko wapi mtupe habari za kizushi ama mko kimya kwa kuwa halina connection na Chadema ?