Ili watanganyia tuendelee inabidi muungano na znz ufe.

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
  • Nimejaribu kutafakari Nguvu inayotumika kuujadili, kuulinda huu muungano ni kubwa sana kiasi kwamba hiyo nguvu tukiiamishia sehemu nyingine ya uzalishaji tutasonga mbele
  • Kiasili waznz ni watu wa kupiga domo tu, hawa ni watu walalamikaji na wasiopenda kujituma, kila wanachokitaka serikali ya muungano ikiwapa wanaanzisha jingine.ikumbukwe kuwa hawa watu(waznz) walimtesa sana nyerere, na pengine ndio waliomzeesha mapema, tunakumbuka alilazimika mpaka kuwafukuza kwenye chama akina maalim seif na kuwapeleka jela lakini bado ni walalamikaji, wakina abuu jumbe mpaka na leo wanapiga domo tu.
  • Waznz ni watu wasiopenda kufanya kazi bali wote wanataka wawe viongozi,wapewe misaada na waarabu au ije serikali ambayo itakuwa inawagawi fedha.
  • Wananchi wa Tanganyika wanatumia Muda mwingi sana kufikiria malalamiko hewa ya hawa waznz, kwa ujumla wanatupumzikia na wanataka na sisi tuwe wavivu kama wao.
Dawa ni moja tu hawa wajamaa tukatae muungano nao, wakae kivyao watuache tujenge nchi yetu Tanganyika wanatupotezea muda hawa mamwinyi.
 
Hawa waznz wanatunyonya damu, kila kukicha wao tu, tumewapa mamlaka makubwa sana lakini wao bado
 
Kwani wazanzibar ndiyo wanaouhitaji muungano? Huu muungano unang'ang'aniwa na chama dhaifu tu.
 
Nilichokigundua mpaka sasa ni kuwa viongozi wakuu wa znz wanajua fika faida za muungano huu na wanajua unawabeba ila wanapotosha wananchi wao ili kila kitu waamini kuwa viongozi wao ni wazuri ila wanashindwa kuleta maendeleo kwa sababu ya muungano, huku wakijua sio, na hao viongozi wa znz ndio sasa wamecharuka kila mkutano sasa huko znz unaofanyika wanasema wanataka muungano wa serikali mbili udumu, sasa hiki ni kituko. haijulikani wako upande gani.
 
Back
Top Bottom