Ili uwe mwizi mwenye mafanikio ni lazima uzingatie haya

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,038
Kama wewe ni mwizi na umepata kazi yakukamua ng’ombe maziwa na ng’ombe uliyepewa anatoa lita 5 za maziwa kabla yakuanza kuiba Hakikisha unaboresha chakula cha ng’ombe na mbinu zote ambazo zitaweza kufanya ng’ombe azalishe lita 8 na ukifanikiwa hivyo wewe sasa unatakiwa uibe lita 2 na boss unamwachia lita 6.

Hapo faida ni kwamba utakuwa umeongeza ufanisi wa kazi na umemwongezea boss kipato na wewe pia umefaidika pia ataona amepata kijana mchapakazi.

Kama pia wewe umeajiriwa katika sekta binafsi ama kwenye kampuni ama duka la mtu binafsi Hakikisha unakuja na mbinu mbadala wa kuiongezea mapato kampuni husika ama kama ni duka inabidi uje na mikakati kabambe yakuongeza mauzo na kukuza mtaji pia kwa kufanya hivyo faida ya kwanza utamuongezea bosi faida, atajenga uaminifu kwako na pia na wewe utapata faida yakuiba ziada bila kuleta athari yeyote.

Ukishindwa kuongeza kipato ama faida yeyote popote unapotaka kuiba acha kabisa kufanya kazi mahali hapo ama usiibe chochote maana madhara yake ni makubwa kwako wewe na bosi wako pia maana mwisho wa siku kama ukimuua nyuki ili upate asali kesho hutapata tena asali maana mtengeneza asali utakuwa umeshamuua kwahiyo kabla yakurina asali ni lazima ujihakikishie usalama wa nyuki na wewe binafsi ili wote muendelee kunufaika!

NB: Sina nia yeyote ya kutetea wizi na mada yangu ni fikirishi aihusiani kabisa na wizi.

Sent using IPhone X
 
Mkuu hapo kwenye NB, umetufunga sisi wenye vichwa vizito, sasa sijui nimeelewa au nimesoma.
 
Kama wewe ni mwizi na umepata kazi yakukamua ng’ombe maziwa na ng’ombe uliyepewa anatoa lita 5 za maziwa kabla yakuanza kuiba Hakikisha unaboresha chakula cha ng’ombe na mbinu zote ambazo zitaweza kufanya ng’ombe azalishe lita 8 na ukifanikiwa hivyo wewe sasa unatakiwa uibe lita 2 na boss unamwachia lita 6!

Hapo faida ni kwamba utakuwa umeongeza ufanisi wa kazi na umemwongezea boss kipato na wewe pia umefaidika pia ataona amepata kijana mchapakazi!

Kama pia wewe umeajiriwa katika sekta binafsi ama kwenye kampuni ama duka la mtu binafsi Hakikisha unakuja na mbinu mbadala wa kuiongezea mapato kampuni husika ama kama ni duka inabidi uje na mikakati kabambe yakuongeza mauzo na kukuza mtaji pia kwa kufanya hivyo faida ya kwanza utamuongezea bosi faida,atajenga uaminifu kwako na pia na wewe utapata faida yakuiba ziada bila kuleta athari yeyote!

Ukishindwa kuongeza kipato ama faida yeyote popote unapotaka kuiba acha kabisa kufanya kazi mahali hapo ama usiibe chochote maana madhara yake ni makubwa kwako wewe na bosi wako pia maana mwisho Wa siku kama ukimuua nyuki ili upate asali kesho hutapata tena asali maana mtengeneza asali utakuwa umeshamuua kwahiyo kabla yakurina asali ni lazima ujihakikishie usalama wa nyuki na wewe binafsi ili wote muendelee kunufaika!

NB,sina nia yeyote ya kutetea wizi na mada yangu ni fikirishi aihusiani kabisa na wizi

Sent using IPhone X
Umetisha sana.
 
hii usingeandika ungeacha mtu atafakari mwenyewe. mada nzuri kongole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona lita tano kama ndio hizi tunazo zimalizia.

Hebu ni sahihishie ili nitiririke.
 
Mkuu acha janja janja,hapo umetufundisha wizi,kwa mwenye akili nyingi nitagundua tu mbinu zako fikirishi..

Haya twende kwa mfano wako..
Huyo ngombe utaboresha chakula chake ili aweze kuzalisha maziwa mengi,je gharama za kuboresha hicho chakula kitakula kwa boss ama mwajiriwa?

Kama ni kwa boss basi atakuwa ni boss mzembe asiyefatilia, ambaye anashindwa gundua gharama za maboresho ya chakula yamepanda pasipo ya ng'ombe kuzalisha zaidi maziwa zaidi,

Na kama gharama ni kwa mwajiriwa hapo utakua unajiibia mwenyewe,mana utaongeza huduma kwa ng'ombe atazalisha zaidi,zile lita 5 zangu zitabaki pale pale.

Asante.

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Kama wewe ni mwizi na umepata kazi yakukamua ng’ombe maziwa na ng’ombe uliyepewa anatoa lita 5 za maziwa kabla yakuanza kuiba Hakikisha unaboresha chakula cha ng’ombe na mbinu zote ambazo zitaweza kufanya ng’ombe azalishe lita 8 na ukifanikiwa hivyo wewe sasa unatakiwa uibe lita 2 na boss unamwachia lita 6.

Hapo faida ni kwamba utakuwa umeongeza ufanisi wa kazi na umemwongezea boss kipato na wewe pia umefaidika pia ataona amepata kijana mchapakazi.

Kama pia wewe umeajiriwa katika sekta binafsi ama kwenye kampuni ama duka la mtu binafsi Hakikisha unakuja na mbinu mbadala wa kuiongezea mapato kampuni husika ama kama ni duka inabidi uje na mikakati kabambe yakuongeza mauzo na kukuza mtaji pia kwa kufanya hivyo faida ya kwanza utamuongezea bosi faida,atajenga uaminifu kwako na pia na wewe utapata faida yakuiba ziada bila kuleta athari yeyote.

Ukishindwa kuongeza kipato ama faida yeyote popote unapotaka kuiba acha kabisa kufanya kazi mahali hapo ama usiibe chochote maana madhara yake ni makubwa kwako wewe na bosi wako pia maana mwisho wa siku kama ukimuua nyuki ili upate asali kesho hutapata tena asali maana mtengeneza asali utakuwa umeshamuua kwahiyo kabla yakurina asali ni lazima ujihakikishie usalama wa nyuki na wewe binafsi ili wote muendelee kunufaika!

NB: Sina nia yeyote ya kutetea wizi na mada yangu ni fikirishi aihusiani kabisa na wizi.

Sent using IPhone X
Nimeipenda hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom