Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Kama wewe ni mwizi na umepata kazi yakukamua ng’ombe maziwa na ng’ombe uliyepewa anatoa lita 5 za maziwa kabla yakuanza kuiba Hakikisha unaboresha chakula cha ng’ombe na mbinu zote ambazo zitaweza kufanya ng’ombe azalishe lita 8 na ukifanikiwa hivyo wewe sasa unatakiwa uibe lita 2 na boss unamwachia lita 6.
Hapo faida ni kwamba utakuwa umeongeza ufanisi wa kazi na umemwongezea boss kipato na wewe pia umefaidika pia ataona amepata kijana mchapakazi.
Kama pia wewe umeajiriwa katika sekta binafsi ama kwenye kampuni ama duka la mtu binafsi Hakikisha unakuja na mbinu mbadala wa kuiongezea mapato kampuni husika ama kama ni duka inabidi uje na mikakati kabambe yakuongeza mauzo na kukuza mtaji pia kwa kufanya hivyo faida ya kwanza utamuongezea bosi faida, atajenga uaminifu kwako na pia na wewe utapata faida yakuiba ziada bila kuleta athari yeyote.
Ukishindwa kuongeza kipato ama faida yeyote popote unapotaka kuiba acha kabisa kufanya kazi mahali hapo ama usiibe chochote maana madhara yake ni makubwa kwako wewe na bosi wako pia maana mwisho wa siku kama ukimuua nyuki ili upate asali kesho hutapata tena asali maana mtengeneza asali utakuwa umeshamuua kwahiyo kabla yakurina asali ni lazima ujihakikishie usalama wa nyuki na wewe binafsi ili wote muendelee kunufaika!
NB: Sina nia yeyote ya kutetea wizi na mada yangu ni fikirishi aihusiani kabisa na wizi.
Sent using IPhone X