Ili uwe mwizi mwenye mafanikio ni lazima uzingatie haya

Amri ya Mungu inasema USIIBE sasa ukipewa njia fikirishi ya kuiba unasema umetumia akili nayo ni WIZI tu!.
 
Nyie hamjui Mimi nilishawahi kufanya kazi sehemu ya kulisha mbwa,kuiba ni technical tu hakuna lolote,kwenye maziwa wizi ni mmoja tu iba maziwa lita mbili muekee maji Lita mbili,kwanza Lita mbili za maji kwenye maziwa Lita tano hazionyeshi, mbwa nilikuwa naenda kuwachukulia mabaki ya kuku hotelini,kuku nachukua mie,maana boss alikuwa mshenzi hakuna nssf wala nini, kwanza TV yake singsang alikataa nisiwe naangalia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo sio wizi kabisa ni kujiongeza kwa kuishugurisha vema akili yako

umeeleweka mbaba
 
Back
Top Bottom