Ili uwe lecturer unahitaji kufanya nini au kusoma kozi gani?

natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,354
2,000
Soma kwa bidii na upige GPA ya maana, kua smart kuanzia kitaaluma, kijamii etc.
Usisahau kujipendekeza maana GPA ya 3.8+ mnaweza kua zaidi ya mmoja lakini anayetakiwa ni mmoja kubaki chuoni(incase ni tutorial assistant), Kua lecturer lazima uwe na masters degree-PhD,
na undergraduate uwe na GPA sio chini ya 3.8 na masters uwe na kuanzia GPA ya 4.0
 
Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
4,895

Mwisho wa siku mfukoni je
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,828

Hapo kwenye red nakataa. Kuna lecturer ni wasenge sana hadi madem wa student wanakaba tena watu wazima kinyama.
Sio busara hii, malaya wa kiume ni shida sna.
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,949
2,000
Mathematics
Hongera kwa kuwa na nia ya kuwa 'Lecturer'.

Lecturer ni Mwalimu kama walivyo walimu wengine, lakini yeye ni Mwl wa taasisi za Elimu ya Juu. Ili uwe Lecturer lazima ukidhi vigezo vinavyohitajika.

Kwanza, katika Undegraduate yako jitahidi sana usome kwa bidii upate GPA ya kutosha. Kana utapata First Class, unajihakikishia nafasi nzuri zaidi. Vyuo vingi wanahitaji wenye GPA kuanzia 3.8 lakini kupata kuanzia 4.2 kuendelea, unajihakikishia nafasi nzuri zaidi.

Baada ya hapo nenda kasome Masters ya Somo lako la 'Mathematics'. Huko napo jitahidi sana upate walau GPA ya 4.0. Bobea zaidi kwenye somo hilo hilo.

Kisha anza kuhangaika uwe Assistant Lecturer kwenye baadhi ya Vyuo watakapotangaza nafasi. Uwe na uwezo wa kujielezea vema kwa lugha ya Kingereza maana ndiyo lugha kuu katika shughuli zako za kufundishia.

Ukiwa humo chuoni, wanaweza kukupa Scholarship. Huku unafundisha, huku unafanya Programme yako ya PhD na baadae kutunukiwa.

Hapo sasa utaanza kuwa Lecturer kamili baada ya kupata PhD.
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,828
2,000
Chuoni mitego ya wanawake ni mingi na kibaya zaidi mwanaume unapokua huwezi kuji-control basi utakua malaya wa kimataifa.
Chuoni kuna watoto wakali mkuu usifanye masihara hata kama wewe ni mwanafunzi unaweza kupotea kabisa kama huna commitment
Hahahah safa mkuu iala mipaka ikiwepo basi hamna noma. Tatizo malecturer wanatafuna totoz zetu aisee na kibaya zaid wanatumana kwenye somo wanalofundisha. Wengi wanadisco sababu ya haya mambo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom