Ili uwe IMAM, SHEIKH

Status
Not open for further replies.

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,699
7,289
Kutokana na umuhimu na ushawishi wao kwenye jamii zetu nimejikuta nahitaji msaada kwa wanajamvi, mnieleweshe kwa upole na upendo. Hawa jamaa zetu hupata elimu yao kwenye vyuo vipi hasa?
Kwamfano, madhehebu yote ya kikristo hivi sasa wanavyuo vyao vya kuwafundisha viongozi wao wa dini namna ya kuongoza waumini wao, na wamefika mbali hadi kwenye ngazi ya udaktari wa falsafa. Sasa ndugu zetu wapendwa Waislam wao nao wako hivyo au viongozi wao wanaibuka tu kama uyoga?
 
bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113

Hawa hawana haja ya vyuo, ukivaa ndala mfululizo na kufuga mandevu machafu tayari unakula cheo cha kuwaongoza.
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,699
7,289
<span style="font-family: fixedsys"> Hawa hawana haja ya vyuo, ukivaa ndala mfululizo na kufuga mandevu machafu tayari unakula cheo cha kuwaongoza.</span>
Mkuu kwani hakuna Masheikh wanaovaa suti kali na viatu vya maana?
 
MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,977
775
Ilimu dunia siyo muhimu sana, madrasa inatosha, ni lazima uwe na majini yasiyopungua 50
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom