Muulize Kinana kuhusiana na report ya kamati ya Lembeli. Yeye kama katibu mkuu ana maoni gani kama wafanyakazi wa serikali ndo wanafanya ujangili?. Swali kama hilo pia liende kwa Mwigulu kama kwa maoni yake anamchango gani kwa hii report ya Lembeli?