Ili ulime heka 10 za mpunga, kitaalam unahitaji uwe na sh milioni 10

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Kuhudumia heka 10 ya #mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10m kwa msimu.

Kilimo ni fedha kilimo ni uwekezaji wa akili na muda.

Usiingie kwenye kilimo cha mpunga kama huna fedha na muda.

N:b Na kukatika mtaji ni jambo la kuweka kichwani.

1625134570929.png
 
Mavuno Wastani gunia 250~300 kwa Eka 10.

Ili upate faida hakikisha mpunga unauweka mpka miezi ya 10,11,12 ndio soko linakua zuri.
 
Kuhudumia heka 10 ya #Mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10M kwa msimu.

Kilimo ni FEDHA kilimo ni UWEKEZAJI wa AKILI na MUDA

Usiingie kwenye kilimo cha MPUNGA kama huna FEDHA na MUDA.

N:B na kukatika mtaji ni jambo la kuweka kichwani
Inamaana izo gunia za mpunga 250 Ukikoboa unapata Mchele Gunia ngapi Tupige hesabu tuone inalipa au vip?. Na bei ya kuhifadhi mpunga kwy ghara za vijijini upoje tujulishe apo na bei ya usafirishaji kutoa shambani mpaka kwy ghara upoje. Na je bei ya jumla ya mchele baada ya kukobolewa upoje tujulishe kwa ule mchele mzuri kabisa
 
Mkuu swali lako lina changamoto ila nikupe jibu kwa kilo za mchele
Kwa wastani debe moja la mpunga lina kilo 9 za mchele ila hapa itategemea na namna ya upimaji wako inaweza kuwa 8.5 mpka 9.5 adi 10 kwa ndoo zile kubwa kwa maana mozambiki

Ila kwenye ishu ya bei sio fixed huwa zinabadilika kulingana na mabadiliiko ya soko la eneo ulipo kwa maana uhitaji wa bidhaa yako hiyo ya mchele kwa hiyo hapa usikalili bei tafadhali tafadhali

Kwenye ishu ya gharama za usafirishaji kwenda gharani hapa itategenea umbali wa kutoka shambani na ghala lilipo nadhani sio bei ambazo ni fixed maana inategemea wewe unataka ukahifadhi ghala la wpi ,yupo atayegharania ekf 2 kwa gunia na mwingine elf 5 kutokana na umbali anaopeleka

Gharama za uhifadhi wa gunia la mpunga kwenye ghara nayo sio fixed maana kuna sehemu gunia ni elf 2 mpaka utakapotoa wewe na kwingine zaidi ya hapo au pungufu lakini pia wrngine wanakuhifadhia bure lakini sharti lao ni moja ukitaka kukoboa utakoboa kwenye mashine yake kama ni ghala ambalo hapo hapo kuna mashine ya mchele

Kama unataka mali utaipata shambani,alisikika mgonjwq mmoja akiwaambia wanawe☺
 
Mkuu swali lako lina changamoto ila nikupe jibu kwa kilo za mchele
Kwa wastani debe moja la mpunga lina kilo 9 za mchele ila hapa itategemea na namna ya upimaji wako inaweza kuwa 8.5 mpka 9.5 adi 10 kwa ndoo zile kubwa kwa maana mozambiki
Asante kwa majibu mkuu! vipi kwa anaetaka kununua mpunga na sio kulima ? unaeza nsaidia kwa maelezo yoyote
 
Back
Top Bottom