Ili uitwe Daktari nchi za wenzetu: Steps to become a Medical Doctor in the USA (Dr. Mwaka?)

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
1. Upate degree ya kwanza miaka mitatu iwe na masomo ya sayansi, social science, mathematics na kiingereza

2.Baada ya hapo ufanye mtihani wa utakao kuwezesha kuingia medical school na ufaulu masomo yafuatayo-biology, general chemistry, organic chemistry, and physics

3. Uchaguliwe kuingia medical school na utasoma kwa miaka minne

miaka 2 ya mwanzo-students take foundational coursework in the practice of medicine, bodily systems and diseases

Miaka 2 ya mwisho-students rotate through various hospital specialty departments and gain experience in patient care under faculty supervision. Students must also pass a series of examinations in their final year, which may include the U.S. Medical Licensing Examination (USMLE).

4. Chagua kitengo unachokipenda kufanyia kazi- Complete a residency

Individuals choose residency programs based on their career interests. These programs usually last from three to eight years and cover general medical principles and specific medical specialties. Residents perform a variety of extensive duties, such as conducting physical exams, taking patient histories, attending conferences and interpreting lab information.

5. Upate leseni- obtain licensure

Before practicing medicine, all doctors must obtain a license. To qualify for licensure, candidates must earn a degree from an accredited medical school. Candidates are also required to complete a residency program and pass the USMLE.

6. Earn Certification in a speciality area

Earning a specialty certification is not required, but it may increase employment opportunities. Certification by the American Board of Medical Specialties (ABMS) is voluntary and involves an extensive process of evaluations and assessments. Doctors who wish to keep their certification must continue their education before testing for certification renewal.

Mshahara kwa mwezi (2014) ni Dola 15,800......kwahiyo ukisikia mtu kaenda kutibiwa marekani ....ujue kakutana na watu namna hii...

Eti mtu anajiita Dr Mwaka na anapata air time kwenye media.....hebu muulizeni aoyeshe vyeti kila hatua hapo juu...
waziri analitendea haki taifa wachache mnasema kaonewa....

Hizi ndio chunguzi zinazofanywa kwa mwanaume ili kujua ana matatizo ya uzazi-

Semen analysis.
Hormone testing.
Transrectal and scrotal ultrasound
Genetic testing
Testicular biopsy

Hizi ndio chunguzi zinazofanywa kwa mwanamke ili kujua ana matatizo ya uzazi-Ovulation testing
Hysterosalpingography
Ovarian reserve testing
Other hormone testing
Imaging tests
Other imaging tests
Laparoscopy
Genetic testing

Je mnaosema mmetibiwa kwake, kabla ya kwenda huko mlijiridhisha na mna vyeti kwamba mlichekiwa ipasavyo vipimo hivyo na kuona kweli imeshindikana mkaenda kwa mkuu huyo!.
 
Certificate is nothing, performance is something!
 
Upo sahihi mkuu.....(tujuze) ame perform wapi.....

1. students rotate through various hospital specialty departments and gain experience in patient care under faculty supervision

2. Residency ambayo ni three to eight years and cover general medical principles and specific medical specialties. Residents perform a variety of extensive duties, such as conducting physical exams, taking patient histories, attending conferences and interpreting lab information.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri,kwa mfumo uliotuonyesha hapa hawa madaktari kutoka muhimbili,kairuki,kcmc,bugando nk je wamehitimu kutibu watu haswa magonjwa makubwa makubwa au ndiyo maana kama unavyosema viongozi wanaenda huko usa kutibiwa?
 
Babu wa Loliondo alikuwa na vyeti?au kwa sababu igizo lilikuwa la kutengenezwa na wakubwa?
 
1. Upate degree ya kwanza miaka mitatu iwe na masomo ya sayansi, social science, mathematics na kiingereza

2.Baada ya hapo ufanye mtihani wa utakao kuwezesha kuingia medical school na ufaulu masomo yafuatayo-biology, general chemistry, organic chemistry, and physics

3. Uchaguliwe kuingia medical school na utasoma kwa miaka minne

miaka 2 ya mwanzo-students take foundational coursework in the practice of medicine, bodily systems and diseases

Miaka 2 ya mwisho-students rotate through various hospital specialty departments and gain experience in patient care under faculty supervision. Students must also pass a series of examinations in their final year, which may include the U.S. Medical Licensing Examination (USMLE).

4. Chagua kitengo unachokipenda kufanyia kazi- Complete a residency

Individuals choose residency programs based on their career interests. These programs usually last from three to eight years and cover general medical principles and specific medical specialties. Residents perform a variety of extensive duties, such as conducting physical exams, taking patient histories, attending conferences and interpreting lab information.

5. Upate leseni- obtain licensure

Before practicing medicine, all doctors must obtain a license. To qualify for licensure, candidates must earn a degree from an accredited medical school. Candidates are also required to complete a residency program and pass the USMLE.

6. Earn Certification in a speciality area

Earning a specialty certification is not required, but it may increase employment opportunities. Certification by the American Board of Medical Specialties (ABMS) is voluntary and involves an extensive process of evaluations and assessments. Doctors who wish to keep their certification must continue their education before testing for certification renewal.

Mshahara kwa mwezi (2014) ni Dola 15,800......kwahiyo ukisikia mtu kaenda kutibiwa marekani ....ujue kakutana na watu namna hii...

Eti mtu anajiita Dr Mwaka na anapata air time kwenye media.....hebu muulizeni aoyeshe vyeti kila hatua hapo juu...
waziri analitendea haki taifa wachache mnasema kaonewa....

Hizi ndio chunguzi zinazofanywa kwa mwanaume ili kujua ana matatizo ya uzazi-

Semen analysis.
Hormone testing.
Transrectal and scrotal ultrasound
Genetic testing
Testicular biopsy

Hizi ndio chunguzi zinazofanywa kwa mwanamke ili kujua ana matatizo ya uzazi-Ovulation testing
Hysterosalpingography
Ovarian reserve testing
Other hormone testing
Imaging tests
Other imaging tests
Laparoscopy
Genetic testing

Je mnaosema mmetibiwa kwake, kabla ya kwenda huko mlijiridhisha na mna vyeti kwamba mlichekiwa ipasavyo vipimo hivyo na kuona kweli imeshindikana mkaenda kwa mkuu huyo!.
Kila nikiona kipindi cha Dr Mwaka huwa nahamia station nyingine. Ananiudhi sana na stories za wana wake za uzazi. Simpendi simpendi anachefua hana tafsida ya uzazi
Bora amestopishwa. Eti kuna kifaa ukishika kinaonyesha matatizo yako yote kwenye computer. Si mmarekani angekitangaza. Wachina nao hawana Tiba labda bahati yako. Hiyo occupanture ni kuchomwa sindano kavu sehemu yenye tatizo ili kusisimua mishipa, siyo effective nilishajaribu sikupona. Tiba ni hospital tu kwenye doctors waliosoma Na kuhitimu baada ya 6years.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri,kwa mfumo uliotuonyesha hapa hawa madaktari kutoka muhimbili,kairuki,kcmc,bugando nk je wamehitimu kutibu watu haswa magonjwa makubwa makubwa au ndiyo maana kama unavyosema viongozi wanaenda huko usa kutibiwa?

Nijuavyo mimi kwa muhimbili kwa waliomaliza form 6, na kufaulu masomo ya sayansi mfano Physics, Biology, Chemistry wana qualify kuingia medical school.... stage ya 3 in US. na pia mfumo wetu kielimu..

Wanasoma miaka mitano ku cover stage 3, halafu mwaka 1 ku cover stage 4 above...hapo ndio tunatofautiana ..
..wenzetu wanapiga 3 to 8 years sie mwaka mmoja....of course kwetu sisi ni sababu ya uhaba wa madokta mtaani taifa bado changa.....
 
Wewe umeleta USA! Unafikiri ni tofauti na Tanzania. Hizo Organic chemistry, Biology & Physics sisi tunasoma A - level kwa miaka 2, then Chuo kikuu ni 5 years. Miaka 2 ya Basic science & miaka 3 clinical (hapa ni practicals za hospitali).

After 5 yrs, unaenda internship for 1 yr ktk hospitali (Mafunzo kwa vitendo), baada ya hapo unasajiliwa na kupewa leseni.

Mmekalia kila kitu wazungu utafikiri kuna tofauti.
 
sasa wanapoandamwa hawa doctors wa kiswahili wakati picha za wakubwa wakitibiwa Loliondo bado tunazo, na hao mababu bado wapo- japo hatujui walitibiwa nini (hairuhusiwi kutaja magonjwa waliyoponywa) mnatuacha njia panda- wako wengi hawa madaktari...babu wa Loliondo na wenziwe waonyeshe vyeti!!! kwa nini Mwaka Tuu???
 
Nijuavyo mimi kwa muhimbili kwa waliomaliza form 6, na kufaulu masomo ya sayansi mfano Physics, Biology, Chemistry wana qualify kuingia medical school.... stage ya 3 in US. na pia mfumo wetu kielimu..

Wanasoma miaka mitano ku cover stage 3, halafu mwaka 1 ku cover stage 4 above...hapo ndio tunatofautiana ..
..wenzetu wanapiga 3 to 8 years sie mwaka mmoja....of course kwetu sisi ni sababu ya uhaba wa madokta mtaani taifa bado changa.....

mkuu hawa jamaa ndiyo maana wanavumbua mambo mapya kila wakati na kufanya operesheni kubwa kubwa na Nobel prize hazikomi kuwafuata
 
Babu wa Loliondo alikuwa na vyeti?au kwa sababu igizo lilikuwa la kutengenezwa na wakubwa?

hahahaha hakujitangaza na kujiita yeye doctor....mkuu......na pia hakukopi na kuzielezea medical conditions za magonjwa aliyotaja kutoa usaidizi compared to Mwaka ....ambae alikopi medical descriptions bila kupinda mgongo kama wenzake kwenye field ...nakujimilikisha katika level ya kuwaaminisha watanzania (viini macho vya modernity ki office), nakutumia media... unethical kabisa.....especially kwa wasio naelimu kujua haya..

mkuu kuna maeneo ambayo watanzania wanadanganywa sana....na hata wenye nyadhifa kutoa habari\ au vyombo vya serikali hawana skills au elimu kutambua black or white katika hizi ishu wanajikuta wanatoa vibali au lseni nahawa
 
Back
Top Bottom