Elections 2010 Ili uchaguzi uwe huru lazima

Zahor Salim

Member
Sep 1, 2010
29
8
Ili uchaguzi uwe huru lazima wapizani wapiganie watanzania wawe na national id yaani kila Mtanzania awe na kitambulishe cha taifa .

Wakati wa kuandikisha wapiga kura liwe ni shart kuu la kuandikishwa lazima uwe na kitambulisho ili kuepuka kuandikishwa wapiga kura hewa.

Ili kuondoa tatizo kubadilishwa matokeo ni bora ukafutwa utaratibu wa kupigia kura chama badala ya mbunge wabunge wapatikane kwa kwa uwiano wa wapiga kura.

Naomba uwasilsha mada kama kuna mapungufu naonba kusahihishwa.
 
Back
Top Bottom