Ili tuwe na maendeleo endelevu,tunahitaji uchochezi zaidi na zaidi.

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Katika historia ya dunia hakuna kokote ambako utulivu ulileta maendeleo
watanzania tunapaswa kuepuka kujengewa fikra kwamba,utulivu,ubwege ni tunu,kuwa ukondoo wa kuinamisha kichwa na kukubali kila kitu bila kuhoji,ni sifa,utulivu si hulka ya binadamu.Kama babu zetu wangekuwa watulivu leo bado tungekuwa tunaishi porini,na kusingekuwa na mabadiliko yoyote
tunahitaji uchochezi zaidi...
Nawasilisha
 
Ndio mh.diwani tumekupata, ofcoz naunga mkono hoja yako, napenda ongezea kua, uchochezi watakiwa ambatana na mikakati yenye kuleta maslahi, Nchi zilizopitia vugu vugu na chochezi ndizo zilizoendelea. Tanzania (Tanganyika) Mpya yaja!
 
Back
Top Bottom