we jamaa ni mpumbavu sana. yaani unasapoti Magufuli kwenda kujenga kiwanja cha ndege kwa mabilioni ya wavuja jasho huko porini? sasa zinarudije hizo hela zetu kwa uwekezaji huo wa kipuuzi? si angejenga air strip tu kama zilizopo sehemu mbalimbali nchini ingetosha? common sense tu inakataa kufanya hivyo hata kama alikuwa na mamlaka ya kujenga chochote kwa fedha za umma.Ndugai mkubwa wewe, Makongorosi chunya wewe..
umeshawahi kumsikia mtu anamkosoa magufuli kwa ujenzi wa reli ya SGR? au kazi za tarura huko vijiji? hujiulizi kwa nini? Tumia akili basi kuandika vitu vya maana humu.